Simchezo naona jamaa walikuwa wameshamuua wiki moja iliopita walikuwa wanasubiri kukamilisha mambo yao ya uchunguzi pamoja na kufanya dna test.
What's next for alqaeda?
The question should read "what's next for Khadafi?"
Simchezo naona jamaa walikuwa wameshamuua wiki moja iliopita walikuwa wanasubiri kukamilisha mambo yao ya uchunguzi pamoja na kufanya dna test.
What's next for alqaeda?
leo ndio siku America imepata uhuru dhidi ya terrorism!. Natumaini itatangazwa kuwa public holiday!.
Major Operation yoyote lazima ipate green light kutoka kwa rais especially kama inatokea nje ya nchi.Jamaa anajipigia pande kuwa yeye ndiye aliyetoa amri ya kumuua, kweli Jaluo kaamua
NN, naangalia CNN hii hii unayoangalia wewe, tofaut ni ammount ya concetration tuu. Wengi wanaangalia huku wamehamanika, mimi naangalia very critical. Mara baada ya Obama kuongea, Blitzer akatangaza salamu za pongezi zimeshaaza kumiminika studio za CNN na kutangaza za kwanzo ni kutoka kwa Bush, katika alamu hizo za Bush, ndia kaeleza kuwa Obama amempigia simu kumtaarifu kama mtu wa kwanza kupokea taarifa hizi baada ya Obama kuzipata.Pasco, CNN gani unaangalia we mwenzetu mbona mi sijaona? Manake hata CNN International Wolf Blitzer ndo yuko hewani....
NN, naangalia CNN hii hii unayoangalia wewe, tofaut ni ammount ya concetration tuu. Wengi wanaangalia huku wamehamanika, mimi naangalia very critical. Mara baada ya Obama kuongea, Blitzer akatangaza salamu za pongezi zimeshaaza kumiminika studio za CNN na kutangaza za kwanzo ni kutoka kwa Bush, katika alamu hizo za Bush, ndia kaeleza kuwa Obama amempigia simu kumtaarifu kama mtu wa kwanza kupokea taarifa hizi baada ya Obama kuzipata.
Obama ni noma! Hakuna cha bush wale babake bush! hapa ni Obama number one!
Major Operation yoyote lazima ipate green light kutoka kwa rais especially kama inatokea nje ya nchi.
Najua kwenye hili lazima Wamarekani watajipa credit hata kama si wao waliomuua. Inawezekana kabisa kuwa kafa kwa ajili ya ugonjwa kwa sababu alikuwa mgonjwa muda mrefu sana.
Hahah mkuu wewe jiandae kusoma posts za kila aina leo lol!!Kivipi sasa?