Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Thats the guy was bragging and talking trashes about the democracy and how he did it. Do you remember these videos?

4SblP8IaRtM.gif


Mkuu hebu tuwekee video tu ireview kwa mara nyingine tena...
 
Majeshi ya Marekani yanasema yamemuua Osama bin Laden na ina maiti yake.
Source: BBC
 
Wamesogeza mbele muda wa Obama kuongea...ataongea 11.15pm ET (6.15am EAT)
 
Simchezo naona jamaa walikuwa wameshamuua wiki moja iliopita walikuwa wanasubiri kukamilisha mambo yao ya uchunguzi pamoja na kufanya dna test.


What's next for alqaeda?
 
Wamarekani ni noma! u can run, u can hide, but they will get u! One way or another...

Najua kwenye hili lazima Wamarekani watajipa credit hata kama si wao waliomuua. Inawezekana kabisa kuwa kafa kwa ajili ya ugonjwa kwa sababu alikuwa mgonjwa muda mrefu sana.
 
Kuna taarifa kwamba US asset zimetumika,aliuwawa kwenye mansion outside Islamabad akiwa na family members wake.Hawajasema ni asset gani hizo,however CIA ina mkono...Ila jamaa alikuwa anajimix kama kawaida na hakuwa kwenye caves kama walivyokuwa wakidai.
 
Mbinu za Obama kwenye kampeni ya 2012 hamna jipya.
Mbona hawasemi ameuawa lini na wapi
 
United States can back up their words. Do Africans protect their citizens like this? Can Africans learn something here, maybe no. What next to people enjoying pimping its citizens for personal gains. Do you remember this in Kenya and Tanzania?

11.tanzania.buildings.jpg


kenya%20embassy%20bombing
 
How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.

These Americans man. Anyway let's wait for more detail.
Sounds like it was a covert operation maana wanasema ameuliwa in Islamabad kwenye mansion...!
 
Congratulations Obama but is not the end of International terrorism..Americans will re-elect Obama next year but he should also begin massive troops withdrawals from Pakistan and Afghanistan...............................

Well, Osama could hide but he could not escape an American drone missile after being betrayed by one of his own people.............................who were supposed to protect him..........................
 
CNN wanadai ameuwawa Islamabad, Pakistan lakini hawajatoa details za jinsi alivyouwawa.
 
Source CNN Osama Bin Laden is Dead
Habari zinasema Osama Ameuwawa mbele ya wanafamilia wake nje ya jumbalake la kifahari (Mansion) mjini Islamabad
 
Najua kwenye hili lazima Wamarekani watajipa credit hata kama si wao waliomuua. Inawezekana kabisa kuwa kafa kwa ajili ya ugonjwa kwa sababu alikuwa mgonjwa muda mrefu sana.

Hata kama ni ugonjwa, lazima wao wame-play part kubwa sana katika kumfikisha hapa!hahahaha
Kwa hiyo wanahitaji credit. The world is slightly a better place now!
 
Kuna kundi la watu hivi sasa pale WH wakiimba USA USA USA
 
Osama Bin Laden was in Pakistan for Real? Was Pakistan was in Islamabad unbelievable Man. Pakistan for real, then they act like nothing was going in Islamabad. What's in Tehran, Tripoli, Damascus? Government of Pakistan was hidding Osama and thats facts.

thecentaurushk1.jpg
 
Sounds like it was a covert operation maana wanasema ameuliwa in Islamabad kwenye mansion...!

That's what they are saying but just think about it for one second, how do we verify that?

I'm sure there will be retaliatory action. It's coming.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom