Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Osama is dead but a million of questions remain unanswered.
By the way can somebody give a hint on the response of his family and relatives?
 
Hizi porojo za uncle sam yale yale ya tulitua mwezini na wameshindwa kurudia baada ya wanasayansi kuwastukia,kwanini maiti itupwe baharini na haraka hivo ? Kuna propaganda inaendelea hapa ukweli utajulikana karibuni.

Hivi humu JF mna vilaza kiasi hiki, watu wasiojua kwamba waamerika walitua mwezini zaidi ya mara moja?!!!!?!! Au kwa vile mnaabudu mungu mwezi ndo sababu mna amini mwezini hafiki mtu???
 
Wakuu mnasherehekea msiba na majonzi? Mnafahamu watu wangapi watapoteza ajira zao kwa kutokuwepo Osama? Ma-bodyguard, ma-security, pamoja na wafanyakazi wa viwanda vinavyotengeneza mashine za kusachi watu Airport.
 
As the news of Osama bin Laden's death moves from exhilarating novelty to accepted reality, one group in the U.S. government will emerge as key to the win: the Central Intelligence Agency. From the earliest identification of a Bin Laden courier, the pursuit of leads, the assessment of evidence and the execution of the raid in Abottabad, Pakistan, the CIA can rightly claim the most credit for finding and killing the world's most wanted terrorist.


Taking credit for a win is not something the agency gets to do often. Though on high alert in the run-up to 9/11, the CIA was criticized afterward for failing to connect the dots of existing intelligence on the threat. Years of failed efforts to find and kill bin Laden thereafter embarrassed and frustrated the agency. And reforms intended to fix the CIA's problems remained inconclusive in the public eye, without a win on the issue most important to Americans: bringing bin Laden to justice.
But the picture already emerging from senior administration sources will begin to turn that opinion around. In a briefing for reporters last night, officials laid out in detail the intelligence work that went into finding bin Laden. The case started with human intelligence:
From the time that we first recognized bin Laden as a threat, the CIA gathered leads on individuals in bin Laden's inner circle, including his personal couriers. Detainees in the post-9/11 period flagged for us individuals who may have been providing direct support to bin Laden and his deputy, Zawahiri, after their escape from Afghanistan.

One courier in particular had our constant attention. Detainees gave us his nom de guerre or his nickname and identified him as both a protÉgÉ of Khalid Sheikh Mohammed, the mastermind of September 11th, and a trusted assistant of Abu Faraj al-Libbi, the former number three of al Qaeda who was captured in 2005.

Detainees also identified this man as one of the few al Qaeda couriers trusted by bin Laden. They indicated he might be living with and protecting bin Laden. But for years, we were unable to identify his true name or his location.
The fact that the initial tip about the courier emerged from detainee interrogations needs to be unpacked. Were any "enhanced interrogation techniques" used to obtain information about the courier? Khalid Sheikh Mohammed and al Libbi were two of the detainees who were subjected to "enhanced interrogation techniques." KSM was waterboarded, a technique Obama and current CIA chief Leon Panetta have repeatedly decried as torture. There can be little question that both Al Libbi and KSM were questioned about the courier, whom the CIA was pursuing aggressively, according to the senior administration official:
Four years ago, we uncovered his identity, and for operational reasons, I can't go into details about his name or how we identified him, but about two years ago, after months of persistent effort, we identified areas in Pakistan where the courier and his brother operated. Still we were unable to pinpoint exactly where they lived, due to extensive operational security on their part. The fact that they were being so careful reinforced our belief that we were on the right track.

Then in August 2010, we found their residence, a compound in Abbottabad, Pakistan, a town about 35 miles north of Islamabad. The area is relatively affluent, with lots of retired military. It's also insolated [sic] from the natural disasters and terrorist attacks that have afflicted other parts of Pakistan.

The work then moved to technical intelligence collection, including efforts by the CIA's sister agencies, the satellite-running National Geospatial-Intelligence Agency and the eavesdropping National Security Agency:

When we saw the compound where the brothers lived, we were shocked by what we saw - an extraordinarily unique compound. The compound sits on a large plot of land in an area that was relatively secluded when it was built. It is roughly eight times larger than the other homes in the area.

When the compound was built in 2005, it was on the outskirts of the town center, at the end of a narrow dirt road. In the last six years, some residential homes have been built nearby. The physical security measures of the compound are extraordinary. It has 12- to 18-foot walls topped with barbed wire. Internal wall sections - internal walls sectioned off different portions of the compound to provide extra privacy. Access to the compound is restricted by two security gates, and the residents of the compound burn their trash, unlike their neighbors, who put the trash out for collection.

The main structure, a three-story building, has few windows facing the outside of the compound. A terrace on the third floor has a seven-foot wall privacy - has a seven-foot privacy wall.

It's also noteworthy that the property is valued at approximately $1 million but has no telephone or Internet service connected to it. The brothers had no explainable source of wealth.
All of this information then went to the CIA's directorate of intelligence to cook into a theory of the case - whether it could be assumed that it was in fact Bin Laden who was likely in the compound, and how confident the President could be that he was sending a strike force in for a worthwhile risk.
Intelligence analysts concluded that this compound was custom built to hide someone of significance. We soon learned that more people were living at the compound than the two brothers and their families. A third family lived there - one whose size and whose makeup matched the bin Laden family members that we believed most likely to be with Osama bin Laden. Our best assessment, based on a large body of reporting from multiple sources, was that bin Laden was living there with several family members, including his youngest wife.

Everything we saw - the extremely elaborate operational security, the brothers' background and their behavior, and the location and the design of the compound itself was perfectly consistent with what our experts expected bin Laden's hideout to look like. Keep in mind that two of bin Laden's gatekeepers, Khalid Sheikh Mohammed and Abu Faraj al-Libbi, were arrested in the settled areas of Pakistan.

Our analysts looked at this from every angle, considering carefully who other than bin Laden could be at the compound. We conducted red team exercises and other forms of alternative analysis to check our work. No other candidate fit the bill as well as bin Laden did.

So the final conclusion, from an intelligence standpoint, was twofold. We had high confidence that a high-value target was being harbored by the brothers on the compound, and we assessed that there was a strong probability that that person was Osama bin Laden.
More details will emerge in coming days, and there will no doubt be questions about the operation. But for now, the CIA is doing publicly what it hasn't been able to do in quite some time: take a victory lap.


Source:Yahoo News
 
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.

"CAIRO — The at-sea burial of Al-Qaida leader Osama bin Laden was videotaped and probably will be publicly released soon, two Pentagon officials said Monday.
The officials said photos of the body before its disposal in the North Arabian Sea on Monday also may be released. The officials spoke to The Associated Press on condition of anonymity because decisions on releasing the materials were pending. "

kama una nia ya kutaka kuelewa nafikiri huu ni msaada mkubwa kwako. Kama vipi tembelea mtandao utajua sababu za kutotaka kutoa picha na zoezi zima mapema.
 
Jamani tushaua Dudu osama waumini wake mwaka huu mna kazi maana tunaenda Libya kuua tena Dudu Gaddafi then tuna malizia Iran kwa dudu Ahmadnijad,

hata kama angekuwa picha ya kipande cha risasi iliyomuua Bin Laden ingefaa kufikisha ujumbe kuwa hatimaye dhalimu kafa! Tanzania itafurahi pale ambapo wote waliohiujumu wawe wamekufa,wale waliolipua ubalozi wa marekan,waliojileta vita ya kagera na wote wanapanga kuhiujumu nchi yetu!
 
Pdidy wewe unajuaje kama wamarekani ndio mashetani kuliko hata huyo Osama?......wewe nadhani kwa imani yako unajua mambo ya shetani yalivyo.......
 
tufanyani subira mengi yatajitokeza ndani ya week hii kuhusu osama kama kafa au hajafa
 
Obama, Osama, Al-qaida wote hao ni watu wa siasa so haitashangaza tukija kusikia kuwa Osama bado yupo hai au kama wanavyodai wao wamarekani kuwa wamemuua. Lakini katika akili ya kawaida tu wa-america wanavyopenda kujiweka juu ni wazi kama Osama ameuwawa angalau wangeonyesha maiti yake na si story tu.

Wakati wamemkamata Saddam walimuonyesha hadharani jinsi walivyokuwa wakimkagua kila sehemu ya mwili, iweje kwa Osama.......Politics!!
 
Wenzetu wana imani na viongozi wao.kama wamarekani wameamini wewe mtanzania wa murutunguru kwa nini ubishe?
 
Hawa Wamrekani sijui wanadhani bado tupo dunia ya 1890, hivi mtu kama Osama ni mtu wa kuuliwa na kuzikwa haraka hivyo? wamarekani si wangemkausha wamweke kwenye jumba lao la maonyesho? mtu umemtafuta zaidi ya miaka 10 leo unapata nafasi ya kumkamata eti unampiga risasi ya kicha..... unamzika baharini..... inaingia akilini??? huu ni mchezo kama ule waliocheza pale Nevada na kuja kuiambia dunia eti wamarekani wametua mwezini.... uongo mtupuuuuuuu
 
Ukweli anaujua Obama na US National Security Team.... sisi hapa turabaki kulumbana tu.... hakuna ajuaye ukweli... sanasana tutasikiliza walichosema we kataa au kubali haisaidii lolote....ndivyo ilivyo ...
 
Obama anaelekea kushindwa uchaguzi mwaka kesho kwahiyo ametafuta nitoke vipi ili isaidie kurudisha imani kwa wananchi wa Marekani kusudi wasimpige chini mwaka kesho.
 
I care less whether he's dead or not kwasababu hainipunguzii wala kuniongozea chochote zaidi ya kuona kila gazeti na kila media habari ndiyo hio tu.
 
NN,

Kuombewa siyo tatizo kwa sababu, nimesikiliza moja ya Makomandoo wazuri sana duniani akisema kuwa kuna uwezekano mkubwa sana Serikali ya Pakistan ndiyo waliofanya kazi yote ya upelelezi na mwisho kabisa ndiyo wakawaita USA kwenda kumchukua/kumuuwa Osama. PAkistan wasingelitaka kujilowesha mikono yao damu ya Osama kwa sababu ambazo zajulikana. Sasa kupata Sheick wa kumzika kutoka Pakistan/Afghanistan hilo ni shida??? Kwanza mazishi au ndoa za Kiislaam anafanya mtu yeyote anayejua KISOMO na si kama Wakiristo ambao lazima awe amebarikiwa sijui na kusomea.....

Osama alitengenezwa na USA na wao walikuwa wanaweza kumuondoa muda wowote ule. Mabadiliko katika Arab World yanayotokea sasa hivi, yamewafanya USA waone hawana haja naye tena kwani ni gharama kumtunza na hakuna la maana atawasaidia. Zamani ilikuwa wanawaambia viongozi kuwa "tuwasaidie kijeshi maana Osama atakuja hapa na kuwamaliza......" na sasa hivi ni Peoples's Power inatembea na viongozi wanaiogopa sana sana kuzidi hata Osama au Obama.

Kwa ufupi, Osama ambaye alikuwa kama Chambio la USA/UK/NATO..... muda wake umeisha na lazima apotelee mbali.

Muda ukifika, hata hawa wapiga debe wa CCM, na wao watachomwa moto kwanza ili kupoteza ushahidi. Nina uhakika kuwa mambo yakichemka, Rostam Azziz lazima akimbie nchi maana vinginevyo, lazima wamuuwe ili kupoteza ushahidi....... Time will tell.
 
wewe unashangaa ya Osama , mwili na kaburi la marehemu David Balal ayejuwa Gavana wa BOT uliuona? kalagabaho
 
t1larg.obama.situation.room.twh.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom