Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Wakati akiwatumikia wamarekani alikuwa anafaa?Walimchoma then wakarusha majivu baharini hafai kuwa na kaburi yule
Wakati akiwatumikia wamarekani alikuwa anafaa?Walimchoma then wakarusha majivu baharini hafai kuwa na kaburi yule
Wafausi wa Osama poleni.Nasikia hapa Dar mnapanga maandamano ya kupinga na propaganda za Amerika.
njooni pale UFUFO NA UZIMA KAWE huyu mchungaj atakuwa ana jua wapi ilipo;
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
We angalia Rais makini.Obama alikuwa makini,akutaka kuelezwa na watu wa chini yake.Kashudia mwenyewe na kasema kitu alichosema.Mfano huu wainge na marais wengeni.Kuwa operation yoyote inapofanyika Rais kuwa karibu anaweza kuua watu ambao siyo wahusika.After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: Weve IDed Geronimo
Read more: After Uncertainty, a Moment of Triumph in the Situation Room: Weve IDed Geronimo | Swampland
![]()
Mzee Obama na timu yake wakishuhudia Operation ya kumkong'ota Chinjachinja Osamah.
alipigwa risasi ya kichwa jicho la kushoto na kung'oa sehemu ya fuvu la kichwa na risasi ningine ilitua kifuan
Mkuu uongo wao unatuathiri sana sie wengine sio kwamba kila mara 2ko net au tunaangalia tv,ina maana nitakapockia jambo nitaliweka kichwani na kuendelea kuusheshea ugali wangu,sasa ikiwa habari waliyoitoa ni ya uongo mie nitaamini ni ya ukweli.wakati kuna wengine wakajakuisikia habari hiyo hiyo kivingine ina maana mie lazima nitapingana naye kwasababu mie nilíisikia habari hiyo kivingineNi sahihi kwamba wamerekani wamekuwa wakitudanganya kwa kila kitu lakini tujiulize uongo wao kwetu unatuathiri vipi sisi na kifupi osama si adui na wala si rafiki yetu kwa lolote lile watudanganye au waseme ukweli sisi halitupi shida kabisa........
- 1015 GMT: The BBC's Owen Bennett-Jones, in Islamabad, says Pakistani intelligence had knowledge of the compound where Bin Laden was killed as far back as 2003: "An ISI official told me they raided this house in 2003 looking for another al-Qaeda operative, Abu Faraj al-Libbi, who was accused of trying to assassinate former President Pervez Musharraf. So they are saying they did have full knowledge of the house but since then it went off their radar screen and they simply didn't know Bin Laden was there."
- 1023: GMT Our correspondent said it was "difficult to believe" Pakistan had no forewarning of the US assault: "We're getting reports from local residents that they were being asked to switch off their lights - by soldiers - an hour before the raid took place. So that would obviously indicate that [Pakistan] did have full knowledge. But despite all that, the ISI are saying they were taken completely by surprise."
- 1025: GMT The 12-year-old daughter of Bin Laden is now in Pakistani custody, says the BBC's Owen Bennett-Jones: "There were quite a few women and children in the compound who had their arms tied [during the raid] and they believe they would have been taken away by the US military had the second helicopter not gone down. The daughter who survived said she saw her father shot by the Americans."
ingawa haki haikutendeka dhidi yake kwa kufata sheria na si vizuri kufurahia jambo hilo bali limeleta ahueni dhidi ya ugaidi duniani
hahhaha hv ingekuwa nchini kwetu ipo hii jk akaevile, hapo angeshika computer ili naye aonekane wakati hajui kitu!we angalia rais makini.obama alikuwa makini,akutaka kuelezwa na watu wa chini yake.kashudia mwenyewe na kasema kitu alichosema.mfano huu wainge na marais wengeni.kuwa operation yoyote inapofanyika rais kuwa karibu anaweza kuua watu ambao siyo wahusika.