Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
11t63bo.jpg

NOFORN = NOt releasable to FOReign Nationals
Burn Bag Burn bag - Wikipedia, the free encyclopedia

Hiyo picha mbele ya mama Clinton ni ya compound?

Mbona kama Biden ndio mwenye view nzuri hapo? Hii picha imepatikana wapi?
 
Nashukuru sikupewa tabia ya kukubali vitu bila kuvitazama sana sana. Hii story imekaa ndivyo sivyo. Hiyo picha ya the so called Osama marehemu imekaa kama ya kutengenezwa. Wanasema hawakumpiga la alitiwa risasi ya kichwa, sasa huo uso kwanini umevimba basi? Macho yamefunga kama mtu aliyepewa kibano fulani hivi kabla hajafa.
Jana nilisema nangoja wikileaks zitasemaje. Time will tell. Sisemi amekufa ama la ila this story leaves a lot to be desired....I cant just swallow it.
 
Hilo jini limetupwa baharini ( north arabean sea) samaki wamepagawa na wanakimbia ovyo ovyo. Watu wanashauriwa kutokula samaki kutoka uarabuni
 
Nadhani watz kwa sababu tumezoea kudanganywa na JK basi we have just become skeptical of any nuwz!
 
Hehehehe subirini ujio wake mpya ndoyo mutajua kama amekufa au bado
 
Hajajivunjia heshima, kaongea ukweli, it doesn't make any sense kwa marekani kumuua osama na kumzika 8 hours later BAHARINI kwa kile wanachodai wanaheshimu sheria za kiislam, uongo mtupu.....


hata mimi nakukubalia statement yako. Kwanza wangeupeleka Marekani wakauweke kwenye museum. Walifanya Ibada ya maziko kwenye Meli? DNA walifanya on site?
 
njooni pale UFUFO NA UZIMA KAWE huyu mchungaj atakuwa ana jua wapi ilipo;
 
Kwa maoni yangu tayari serikali ya Marekani ishadondosha mpira kwenye hili kwa sababu sasa hata wakitoa bado watu watahoji authenticity ya hiyo au hizo picha. Kwenye mambo ya PR kama hili hutakiwi ku dillydally.

Pia sasa eti inasemekana Osama hakuwa na silaha yoyote ile na wala hakutoa resistance yoyote ile. Sasa kwa nini wasingemkamata wakamweka kwenye hifadhi yao kama walivyofanya kwa Saddam. Kwa Saddam tuliona hadi video footage akifanyiwa physical huku nywele zake zikiwa timtim.

Hii ya Osama inaibua maswali mengi mno. Kila kitu kimefanywa haraka haraka utadhani alikuwa mtakatifu. Pia tunaambiwa eti kazikwa (mimi nadhani kadondoswa tu baharini na hiyo ni kama kweli wamemuua kama wanavyodai)kwa kufuata taratibu za dini yake. Eti kabla ya "kuzikwa" aliombewa. Hiki nacho ni kichekesho. Huyo aliyemwombea ni nani? Ndugu au Imam wa Kimarekani?

Things just don't add up for me.



NN umenena! kuna amablo hatulijui hapa
 
Walimchoma then wakarusha majivu baharini hafai kuwa na kaburi yule
 
Hali zenu great thinkers wenzangu! Naomba mnijuze wadau bahari alipozikwa huyu gaid nambari moja wa al-qaeda ambaye kwasasa hatunaye tena duniani, hapa namaanisha Osama bin laden, Nawasilisha.

Unataka ukafanye nini juu ya kaburi lake?, unataka ukatambikie? Kwani kwenu hakuna makaburi mpaka utafute la huyu mnywa damu za watu?Anyway, ndiomaana wamemfanya kuwa chakula cha papa ili musiende kutambikia juu ya kaburi lake.
 
Katika hali inayoonyesha mkanganyiko wa wapi alipo mh huyu bin laden osama mutmishi mmoja aemesema osama ajafa na soon dunia itarajie anguko la aibu kwa marekani pale atakapokuja na mkanda wake na kueleza wapi alipo......!!akisema dunia lazima itambue ukweli huyu bwana anaongozwa na mashetan na anaitaji mooto wa Mungu tu kumshukia na si mabomu wala mitutu..osama ajafa osama wamempumzisha sehemu na muda si mrefu atawaacha hapo alipo na kurejea afghanstan..tatizo wamarekani awamjui vizuri yule bwana ana uwezo wa kujibadili hali nyingi maiti..akiwa mgonjwa mkamchukuua mkijua mmemkamata ..huyo ni osama bin laden
 
Jamani tushaua Dudu osama waumini wake mwaka huu mna kazi maana tunaenda Libya kuua tena Dudu Gaddafi then tuna malizia Iran kwa dudu Ahmadnijad,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom