Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
The Finest;I hope this is not one of those tactics kumsaidia Obama ashinde uchaguzi wa mwaka kesho maana he's in a bad shape na kuna kila dalili za kushindwa urais mwaka kesho[/

Hizo ni politics tu za US TF, WH ataingia tu. Watampiga majungu wee kwa vile ana ngozi nyeusi jaluo lakini atachaguliwa tu. Tupo hapo utakubali usemi wangu. Kama ni Uchumi si yeye aliyeudidimiza, haiwezekani shimo lichimbwe miaka kumi ulifukie kwa usiku mmoja. Jaluo anajitahidi kwa kile anachoweza!
 
U.S. tests bin Laden's DNA, used facial ID: official

r

WASHINGTON | Mon May 2, 2011 2:56am EDT


(Reuters) - The United States is conducting DNA testing on slain al Qaeda leader Osama bin Laden and used facial recognition techniques to help identify him, a U.S. official said on Monday.

Bin Laden was identified by the assault force that killed him in a firefight in Pakistan in which he resisted and was shot in the head, the official said on condition of anonymity.

Results of the DNA tests should be available in the next few days, the official told Reuters.

The strike force was on the ground for less than 40 minutes and the operation was watched real-time by CIA Director Leon Panetta and other intelligence officials in a conference room at CIA headquarters in Langley, Virginia, the official said.

"When word came in that the operation was a success, CIA officials in the conference room had a rather large applause," the official said.

(Reporting by Tabassum Zakaria; Editing by Will Dunham)
 
Kuna watu wanadhani hii operation imeanza juzi? Watu walishtuka toka 2006/7! Sema wao sio waropokaji...
 
Pakistan Taliban Says Bin Laden Is Still Alive, Geo Says
By Khurrum Anis - May 2, 2011 9:06 AM GMT+0300




May 2 (Bloomberg) -- Taufiq Rahim, political analyst and director at GlobeSight in Dubai, speaks about the death of Al Qaeda leader Osama Bin Laden. President Barack Obama said Bin Laden had been killed by a small team of U.S. operatives yesterday after a firefight at a house outside of Islamabad, the capital of Pakistan, where he had been hiding. Rahim speaks from Doha with Linzie Janis on Bloomberg Television's "Global Connection." (Source: Bloomberg)

Pakistan's Taliban said al-Qaeda leader Osama bin Laden is still alive and reports of his death are baseless, Karachi-based GEO Television reported, citing a statement from the group.

Bin Laden, founder of the terrorist network responsible for the Sept. 11, 2001 attacks on the World Trade Center and the Pentagon, was killed in Pakistan by U.S. forces early yesterday at a house where he had been hiding, President Barack Obama said in Washington. The strike came after years of "painstaking" work by the American intelligence community, he said.

The U.S. determined that bin Laden was living in a home in a compound in the town of Abbottabad, Obama said. The compound had been under surveillance since at least last September, according to administration officials who briefed reporters after Obama spoke.

One of bin Laden's sons was killed in the operation, Pakistan's Dunya television reported, without saying where it obtained the information. Two of his wives and six of his children were taken into custody by security forces, Dunya said.

source>>>>>> Pakistan Taliban Says Bin Laden Is Still Alive, Geo Says - Bloomberg

Safi sana

Jogoo hafi kwa utitiri
 
mkuyat og, yaap nipo sirias kwani kuna ubaya gani kwa shekh Osama kulala karibu na Mtume?
Sheikh Osama alikua ni Muislam na amekufa akiwa Muislam je kuna ubaya gani kumuombea kheri? au kuna mabaya gani ambayo kayafanya mpaka uniulize kama nipo sirias? au ndio ule msemo wa mkuki kwa nguruwe ila kwa binadam mchungu?

Hakuna ubaya, wote hao ni marehemu.
 
Ndugu wadau;

Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.

Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.

We need to receive it with intensive care!!!

You don't need to believe if that's what you want. Kwani hadi leo kuna wasioamini kwamba NASA walitua mwezini. Hadi leo kuna wasioamini kuwa Sadam, Tupac na hata Elvis kuwa wamekufa. so I think it is up to u
 
Kama ni uongo huyo Osama si ajitokeze, ama atope tapes zake
 
Labda nikusaidie ndg, huhitaji kuamani, ila fact ni hivi CHIEF TERRORIST OSAMA IS BOTH PHYSICALLY AND MEDICALLY DEAD. HE'S NO MORE.
 
Natangaza msiba mkubwa wa shujaa Sheikh Osama muhamad Bin Laden ambae ameuawa na madhalimu wa marekani ambao wao ndio wanajiona wana haki ya kuishi kwa amni na kumiliki mali za dunia nzima chini ya utawala wa ki freemason na iluminat amabo upo chini ya matakwa ya sheitwan rajjiiim, kiukweli imeniuma sana na pia ni pigo kubwa saana kwa sisi ambao ni maadui wa ubepari dunia nzima. ikumbukwe kua wamarekani walimuua saddam na kuharibu amani ya iraki hao hao walikua wanachochea vurugu somalia na kuwapatia silaha baadhi ya watu hao hao wanahusika kuchafua amani kongo na sehem mbalimbali duniani kwa maslahi yao. Inna li Lillah Wa inna Ilaih rajiuun, khafuu Llah wala Takhfu nnasu.amekufa kiume kama shujaa na sio kama wengine ambao hufa kwa ulevi wa pombe na ngono, tumuombee kheri na Mungu ailaze roho yake katika Jannah ya Firdaus karibu na Mtume mUhammad S.a.w

Kwahiyo kwa mujibu wa huyu ndugu, ni kwamba uislamu unafungamana na ugaidi? kwahiyo mtu akiwa gaidi na muuwaji ila kama ni mwislamu inamuondolea madhambi yote. nina mashaka na akili ya huyu mtu. na kwa akili ndogo ya viwango hivi basi kazi ipo. huyu anazidiwa akili hata na sungura.
 
Kama uliwaamini kwamba Osama bin Laden ana-exist kwa nini usiamini kwamba kauwawa? Or have you seen Osama face to face? Unataka uende kukagua maiti? If you did depend on the media from the start on all these information about Osama why hesitating today? Camon man...

Hahahahaaaaa!!!!!!!!!!!
Very good and intelligent answer.
You go boy/girl!!!
 
Walivyo mnyonga Saddam Hussein picha kibao za tukio la unyonganji zilitolewa iweje leo hii kifo cha gaidi mkubwa kama Osama wasiweze kutuonyesha hata kapicha kamoja? mimi nilipo sikia hii habari tu hata kabla sijajua kuna uthibitisho kani walio nao nilisema huo ni uongo maana wamarekani ni watu waujiko sana...Osama alishakufa miaka mingi iliyopita na wao wanalitambua hilo ndio maana wamekuja na uongo huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom