Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Serikali ya Marekani haijaitoa picha ya Osama officially hiyo picha inayozunguka kwenye mitandao ni photoshoped image aliyeanza kuizungusha hajulikani.
 
sasa hawa wamarekani c waongee ukweli tu mbona wanajichanganya na hizi habari zao?au ndio kama kuenda mwenzini?

that's politics for you my dear ...
nimekaa hapa na aangalia CNN News
mambo ni yale yale yatarudiwa mara mia mia
lakini ukweli wa mambo ( US National Security Team ndo wanaujua)
 
Serikali ya Marekani haijaitoa picha ya Osama officially hiyo picha inayozunguka kwenye mitandao ni photoshoped image aliyeanza kuizungusha hajulikani.

Kwa maoni yangu tayari serikali ya Marekani ishadondosha mpira kwenye hili kwa sababu sasa hata wakitoa bado watu watahoji authenticity ya hiyo au hizo picha. Kwenye mambo ya PR kama hili hutakiwi ku dillydally.

Pia sasa eti inasemekana Osama hakuwa na silaha yoyote ile na wala hakutoa resistance yoyote ile. Sasa kwa nini wasingemkamata wakamweka kwenye hifadhi yao kama walivyofanya kwa Saddam. Kwa Saddam tuliona hadi video footage akifanyiwa physical huku nywele zake zikiwa timtim.

Hii ya Osama inaibua maswali mengi mno. Kila kitu kimefanywa haraka haraka utadhani alikuwa mtakatifu. Pia tunaambiwa eti kazikwa (mimi nadhani kadondoswa tu baharini na hiyo ni kama kweli wamemuua kama wanavyodai)kwa kufuata taratibu za dini yake. Eti kabla ya "kuzikwa" aliombewa. Hiki nacho ni kichekesho. Huyo aliyemwombea ni nani? Ndugu au Imam wa Kimarekani?

Things just don't add up for me.
 
binladencover.jpg


NGOMA IMETOKA HIYO PAPA.
 
Kama kweli huu ni mchezo basi lengo itakuwa Kumbakisha Obama Madarakani, si mnakumbuka mwaka 2004 pale John Kerry alipoonekana kumkalia kooni Bush kwenye Uchaguzi, ghafla eti Osama akatoa video tape, kuwaambia Wamarekani wasimchague Bush, kwa hasira wamarekani wakamchagua huyohuyo Bush: cheki na hii habari inaweza kusaidia kuconnect dots: PressTV - US-Pakistan relations after bin Laden
 
Hizi habari wanazitoa nusunusu na inaharibu ile flow of information kwasababu wanazingatia propaganda zaidi kuliko ku provide ukweli wa tukio na the whole mission.Wanadai sasa Bin Laden did not try to resist,before walisema he did try to resist,halafu kuna wakati walisema mission ilikuwa ni kumwua na si kumkamata akiwa hai.Huku tukijua kuanzia awali tokea Bush kuwa policy ilikuwa to capture him dead or alive,sasa walimpiga risasi ya nini kama hakukuwepo na resistance?,Wakati huo huo,chini ya Obama wanadai kuwa hiyo code name "Geranimo" means kill or capture Bin Laden...Hakuna kinachoeeleweka smoothly,too much contradiction,inawezekana aliresist lakini mambo ya propaganda hawataki kusema ili asiwe revered aonekane coward.

Badala ya kutoa habari naona wako busy kuipangilia namna ya kuitoa na kupanga kuwa ni habari ipi itolewe na kivipi,sasa huu ndo upuuzi wenyewe.Hata hivyo ndo kawaida hiyo,mshindi huandika historia,na tutaendelea kulishwa propaganda za washindi taka tusitake.

Pheeew! Afadhali na wewe umeliona hilo. Nilidhani niko peke yangu kumbe mpo na wengine mlio na maswali kama yangu.
 
duh.hi mpya binadamu anazikwa baharini?beside haki yake ya imani imevunjwa!waislam hawaziki baharini.
 
ni sawa amekufa
lakini maelezo ya jinsi alivyokufa..
jinsi alivyozikwa mmmmmhh
yana utata wa hali ya juu
lakini hizo picha si dhani kama ni za ukweli
 
Hiyo ya kumtupa majini a la Megatron kwenye Transformers wanadai kuwa hakuna nchi iliyotaka kumpokea vile vile hawataki mambo ya wafuasi wake kugeuza kaburi lake kuwa sehemu ya kwenda kuhiji na kutoa heshima zao.

For all we know mwili wake wanaweza kuwa bado wako nao, ili kupunguza tension na hasira in the Arab world wameamua kutuambia wamemzika kwa kufuata sheria za dini yake.
 
Hizi porojo za uncle sam yale yale ya tulitua mwezini na wameshindwa kurudia baada ya wanasayansi kuwastukia,kwanini maiti itupwe baharini na haraka hivo ? Kuna propaganda inaendelea hapa ukweli utajulikana karibuni.
 
Kwa Mujibu wa Fatwa ya mazishi ya Kiislamu, ni kinyume kumzika mtu majini iwapo kuna ardhi ya kumzikia. hebu angalia hii fatwa kuhusiana na mazishi majini: Burial in a grave with water and seeing the face of the dead - Islamweb.net -English Sidhani kwamba kuna nchi ya Kiislamu ina haki ya kumzuia binadamu asizikwe katika ardhi, wakati ardhi ni ya Mwenyezi Mungu na Kiumbe ni wa Mwenyezi Mungu hata kama ni mkosaji vipi!. kwa maana hata mtoto wa adamu aliyemuua nduguye, pamoja na uzito wa kosa lake bado alizikwa ardhini.
 
There are intriguing rumours from Britain over connections between the killing of Osama bin Laden and the Royal Wedding.
US President Barack Obama confirmed yesterday that the al-Qaeda leader was killed by special forces at a compound in Pakistan. He is thought to be behind the September 11, 2001 attacks that killed 3,000 people in the United States.
UK correspondent Malcolm Stuart says it's widely believed US President Barack Obama held off consent for the operation to avoid stealing headlines from the wedding. And he says it may be the reason that William and Kate have delayed their honeymoon.
"I doubt whether the Americans precisely said what was going to happen but they may very well have told the British Government don't let them go anywhere very far away and certainly not if they're going to have to fly over the difficult Middle East," he told Newstalk ZB's Susan Wood.


more info ..

Bin Laden operation delayed Royal honeymoon - Yahoo!Xtra News
 
Ungeandika Kiswahili nadhani ungeeleweka zaidi, sasa sijui unamficha nani na icho kiinglishi chako. Uh!

Yaani kila ulichokiwacha...! It means KILA KITU... Mpaka chu.pi
Hii dhana nzima ya "kuahidiwa Mabikra 72 ahera" imetokana na kwamba wengi (kama siyo wote), wanaojitoa mhanga kwa jina la Uislamu wametokea kuwa ni Vijana wa Kiume ambao hawajaoa bado na hawana familia - ndiyo maana wanahadaiwa na Masheikh/Maimaam kwamba huko wanakokwenda wategemee "Mabikra 72".

Hii inaonekana kuendana na mantiki kwenye bandiko lako hapo awali (Rejea kauli yako hapo juu), kwani kama mtu hujaacha Mke wa ndoa dunia hii wakati unaaga dunia, basi sana sana utategemea "Mabikra 72" au hata "Mabikra 100" huko "ahera" na siyo "Wake 100", au unasemaje?

Kama mtu hujaoa na "ukajitoa mhanga" kwa "Islam" dhidi ya "maadui" wake (Kama vile "Sheikh" Osama alivyokuwa akiwahubiria Wafuasi wake kina Mohammed Atta et al ambao walikuwa bado kuoa), jee kweli utategemea kujivinjari na "Wake 100" ufikapo "ahera" wakati duniani hukuwa na Mke hata mmoja?
 
Hivi
  • kuna muislam anakubali views za Osama ndio image ya uislam ?
  • Kuna wakristu wanadhani Osama anarepresent views na mafundisho ya Uislam


Inashangaza kama kuna waislam wanashindwa kumemea OSama just sababu anatumia mgongowa dini. Na inashangaza watu kudhani views za Osama ni views za waislam wote.

Actually sio waislamu wote tunakubali philosophy za bin laden.. binafsi mimi namchukia....

kila kukicha nasikia mtu kajilipuwa msikini ndani ya pakistan "ndani ya msikiti kuna waumini na vitabu vitakatifu"

hawakilishi view za waislamu wote..>> nina rafiki zangu wa dhehebu la shia .. wanasheherekea... + me even though ni sunni

USA , Israhell , hawana tofauti na Alqaida..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom