Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
hawawezi kudanganya, unajua wamarekai wanazo hadi sample za DNA za osama, hivyo wakiwa na mwili wake watakuwa na uhakika kuwa huyo waliyemwua ni yeye au la, kwasababu hata wakichukua m.a.vi yake tu aliyo.ku.ny.a sehemu anapokimbia mabom, wakilinganisha na zile sample zao walizonazo watajua kam ani yeye ameuawa au ni mwenyemandevu mwingine...so nafikiri wanachosema ni cha kweli.