Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,003
Mods unganisheni hizi vitu na ile ilotoka saa 11:40 alfajir! https://www.jamiiforums.com/international-forum/131315-osama-bin-laden-killed.html
Marekani wanatuonea sana waislam wamemuua mtoto wa Gadaffi leo tena wamemuua mpigania dini wetu Osama lazima tuandamane, Ha ha haaaaaa.Tafsiri gani hapo? na wewe unaandika pumba siku hiz?
Ati zipo taarifa zinasema.............Taarifa gani hizo??? MtuZipo taarifa zinasema kuwa kauawa tarehe 24/4, je alizikwa lini hasa kama taarifa zimetolewa tarehe 1/5:A S 39:
Zipo taarifa zinasema kuwa kauawa tarehe 24/4, je alizikwa lini hasa kama taarifa zimetolewa tarehe 1/5:A S 39:
Ati zipo taarifa zinasema.............Taarifa gani hizo??? Mtu mzima acha umbeya na uzushi la sivyo toa sourceZipo taarifa zinasema kuwa kauawa tarehe 24/4, je alizikwa lini hasa kama taarifa zimetolewa tarehe 1/5:A S 39:
Why are you biting the hand that feeds youKama wangemkamata bado yu hao hapo mimi ningewaona jamaa vidume kweli kweli. Lakini hii keshakufa wiki nzima halafu mnatangaza Jumapili usiku/ asubuhi ina walakini kidogo. Jamaa inawezekana kabisa amekufa kwa ugonjwa wake na si kupigwa na Marekani.
Siwezi kuchangia thread za kishetani, nilitalajia uulize je ni mbinu gani zifanyike kumaliza masalia ya Al qaida? na sio kujuwa nani atakuwa kiongozi wa uovu.
How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.
These Americans man. Anyway let's wait for more detail.