Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
They created a beast they cannot srop any more. Wameua mtu na wala sio ideology. Al quaeda is a very well organized institution with various departments. Osama was merely the spokesman of it... Kwe li kazi bado ipo na itawabidi wawe makini sana na wafasi wake. All is vanity, Inna lilahi wa inna illahi rajjun!

Na we inabidi tukutafute utupe undani wa hii statement yako. Stay tuned.
 
Fox News wanadai kuwa picha ya Osama imekuwa released.. Kuna photoshoped photo ya Osama inazunguka mitandaoni isijekuwa ndio hiyo.
 
Wakuu mbona kuna Osama wengi tu. Huyu waliyemuua kama kweli basi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Wamarekani Wanajidanganya bure, mashambulizi ya Al Qaeda yapo palepale. Aluta Continua.
 
Kuna watu humu wamezoea kudanganywa kila siku na viongozi wao wa kibongo Enyi nyie wachache great thickers It was areal Osama YES Osama na mtoto wake pia kauwawa he was asked to surrender then refused before shot! some family members also arrested! mnafikiria hiyo ni inteligensia ya TZ haina kichwa wala miguu kulopoka uongo tu ili kuwadanganya wananchi?! khaaa!
 
Timing ya matukio imenishangaza kidogo,

Ijumaa:Arusi ya Mjukuu wa Malkia, ambayo watu walikuwa wameanza kuoji matumizi makubwa ya fedha huku waingereza wakilazaimishwa kufunga mikanda
Mapema Jumapili:Mtoto na wajukuu watatu wa Gaddaf wauwa kwa mabomu ya NATO
Mapema Jumatatu:Habari za kuuwawa Osama Bin L.

Wamarekani wanajaribu kuupumbaza Ulimwengu juu ya matukio halisi yaliyopo hivi sasa, kwani Ulimwengu ushawajua ni wanafiki na unapanga namna ya kukomesha unafiki wao.
 
How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.

These Americans man. Anyway let's wait for more detail.

I dont want to think the way you do but I like your signature.
 
Me thinks that Osama was going to die sooner, so he opted for a grand exit...some one from the inside is having tha $25 mill bounty...
the conclusion is ...Osama dead, he was very sick anyway and some insider has the 25 mill to continue the job Al Qaeda started.

Let's not celebrate yet?
 
Is there video footage of that fire fight that killed him? Or you are just swallowing each and everything they feed you?

We ni mpuuzi, inaonekana dhahili ulipendezwa sana na matendo ya huyu gaidi na ni mchaji mzuri wa ugaid.
 
Ila nionacho kwa kipindi hiki cha wiki moja mpaka 10-days...ndicho kipindi cha wamarekani kusambaratisha kundi hili, wasipofanikiwa kwa kipindi hiki basi hawa jamaa watajipanga tena fiercely kujibu mapigo, kufanya intense fire na hata kuweka uongozi imara zaidi. Wakitoa mwanya wa al-qaeda kuji reorganise...kazi baaaado saana.
 
Gadaffi amesema wamemuua mtoto wake anaonekana mwongo na watu wanadai waonyeshwe mwili wake. Kasema Obama tu bila mwili woote tunashangilia nini hii?
 
How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.

These Americans man. Anyway let's wait for more detail.

These are million dollar questions which need to be answered asap..
 
kwangu kama ni habari za kweli-itakuwa siku nzuri kwangu-bora amekufa
 
Obama noma!!!!! Haters giive it a rest!! Another 4 years!!!
best president ever!!!!
 
Kama Osama atakuwa ameuwawa hii itakuwa ni habari kubwa sana.
 
Gadaffi amesema wamemuua mtoto wake anaonekana mwongo na watu wanadai waonyeshwe mwili wake. Kasema Obama tu bila mwili woote tunashangilia nini hii?

reputation!
Gaddafi ni muongo. Lini Obama amekudanganya?
Reputation ni kitu unajenga, sio unakipata leo.
Ni sawa na ccm iseme benki kuu imeibiwa. Ivi si tutasema wameiba wao! Maana hatuwaamini tena!!
 
Ila nionacho kwa kipindi hiki cha wiki moja mpaka 10-days...ndicho kipindi cha wamarekani kusambaratisha kundi hili, wasipofanikiwa kwa kipindi hiki basi hawa jamaa watajipanga tena fiercely kujibu mapigo, kufanya intense fire na hata kuweka uongozi imara zaidi. Wakitoa mwanya wa al-qaeda kuji reorganise...kazi baaaado saana.
kummaliza Osama italidhoofisha Al QAEDA kwa sana.
Ingawa Osama was no longer a commanding officer (Zawahir ndiyr kamanda) ila wapiganaji wake walipata moral support form mtu wanayemwamin Osama
Pia pesa ni muhimu kufadhili ugaidi so Al qaeda watayumba kimtindo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom