Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

Mkuu nimependa hii ramani, Makisio kuijenga kwa Tanzania upande wa Pwani huku, inaeza kua kiasi gani?
Roughly boma(msingi, kuta, paa, plasta) haipungui 25Mil.... Kwa haraka haraka

More estimates mpaka uangalie ktk website yetu
 
Hii nyumba contemporary (hidden roofing) kwa watu wenye viwanja sambusa (pembe tatu) vidogo

Sifa
  • ukumbwa103 sqm Coverage
  • 16.65m Length
  • 8.9m Width

Mteja wetu alikuwa anataka kujenga Kenya, amesema hako kakiwanja amenunua kwa TSh. 90,000,000/= kwa thamani ya Kenya (kina 241 SQM)

GridArt_20230201_084856846.jpg
Screenshot_20230201-082648.png
View attachment GridArt_20230131_235704778.jpgView attachment GridArt_20230131_235748784.jpgView attachment GridArt_20230131_235924116.jpg
 
Hii nyumba contemporary (hidden roofing) kwa watu wenye viwanja sambusa (pembe tatu) vidogo

Sifa
  • ukumbwa103 sqm Coverage
  • 16.65m Length
  • 8.9m Width

Mteja wetu alikuwa anataka kujenga Kenya, amesema hako kakiwanja amenunua kwa TSh. 90,000,000/= kwa thamani ya Kenya (kina 241 SQM)

View attachment 2502168View attachment 2502169View attachment 2502171View attachment 2502172View attachment 2502173
VP kwa ramani ya Nyumba ya kawaida yenye Bati.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Zipo za gharama nafuu, maghorofa, kawaida, za kupangisha, servant quarter... Usihangaike kupata design/ramani,
Tumekuandalia list full!

Kwa Msaada, Piga/WhatsApp = +255-657-685-268

  • design hizi 400 zimeandaliwa na Architects waliopo Tanzania na zinapatikana kwa anayehitaji kwajili ya ujenzi!
  • sababu nyumba 400 ni nyingi, kwahiyo hapa nitaonesha just front picha yenye data kidogo... ila waweza tembelea app yetu au website yetu au tuwasiliane!

1701188228369.png

Ufafanuzi:
ID-19135 = hii inaonesha namba unique kuitambua ramani
2 = hii inamaanisha kuna idadi ya vyumba viwli vya kulala
121 sqm = hii inamaanisha ukubwa wa nyumba (floor covarege) ni mita za mraba 121
83 Pcs = idadi ya bati zile za futu 10 ni pisi 83
12 m = urefu wa jengo ni mita 12
11 m = upana wa jengo ni mita 11
2,167 Pcs = tofali za kujenga kuta za 6" zipo 2,167
1,077 Pcs = tofali za kujenga msingi za 6" zipo 1,077

LAYOUT YA RAMANI YA NYUMBA
- Pia utaweza ona ramani layout jinsi ilivyo... kwa kila nyumba... kama hii

1701190928513.png

KIWANJA KIASI GANI?
  • Waweza angalia pia kwa kila nyumba ktk mtandao wetu... kiwanja kiasi gani kinatosha kujenga nyumba hiyo
  • waweza angalia ktk mfumo wa vipimo vya MITA au FUTI au HATU ZA MIGUU
1701190051848.png

MAKISIO GHARAMA UJENZI
  • Waweza pia angalia makisio ya gharama ujenzi (vifaa+ufundi) kwa steji mbalimbali
  • pia unaweza angalia kama ukisema ukope benki kwa riba ya kiasi fulani na kwa muda fulani, basi kila mwezi utakuwa unakatwa kiasi gani ktk mshahara na mshahara wako usipungue kiasi gani
  • kwa ambaye hawezi kukopa benki na anataka kufanya uwekezaji... unaweza angalia je ulime maharage/ mahindi/ mpunga au ufuge kuku/ nguruwe/ ng'ombe wangapi na kwa muda fulani ili uweze pata pesa kwajili ya kujengea nyumba hiyo unayoaangalia
  • sababu system yetu inatumika nchi mbalimbali Afrika, basi waweza angalia gharama ktk sarafu mbalimbali za nchi mbalimbali
1701191085398.png

MAKISIO GHARAMA ZA UFUNDI
- kwa kila nyumba zote zaidi ya 400, waweza angalia makisio ya gharama ya ufundi kujenga nyumba yako kwa steji mbalimbali
1701189902938.png

Hakikisha unatimiza ndoto ya nyumba yako sasa!
 
Zipo za gharama nafuu, maghorofa, kawaida, za kupangisha, servant quarter... Usihangaike kupata design/ramani,
Tumekuandalia list full!
  • design hizi 400 zimeandaliwa na Architects waliopo Tanzania na zinapatikana kwa anayehitaji kwajili ya ujenzi!
  • sababu nyumba 400 ni nyingi, kwahiyo hapa nitaonesha just front picha yenye data kidogo... ila waweza tembelea app yetu au website yetu au tuwasiliane!

View attachment 2827798

Ufafanuzi:
ID-19135 = hii inaonesha namba unique kuitambua ramani
🛌 2 = hii inamaanisha kuna idadi ya vyumba viwli vya kulala
📐 121 sqm = hii inamaanisha ukubwa wa nyumba (floor covarege) ni mita za mraba 121
🔺 83 Pcs = idadi ya bati zile za futu 10 ni pisi 83
❗ 12 m = urefu wa jengo ni mita 12
➖ 11 m = upana wa jengo ni mita 11
🔲 2,167 Pcs = tofali za kujenga kuta za 6" zipo 2,167
⬛ 1,077 Pcs = tofali za kujenga msingi za 6" zipo 1,077
Raman ya chumba kimoja kias gan mkuu
 
Boss nadhani maana halisi ya nyumba nafuu haujaitendea haki, mfano wa ile ramani ya nyumba ya awali umeorodhesha vitu vichache tu vikaleta almost 30M, hapo haujagusa gharama ya kiwanja na vikorokoro vingine kibao ambavyo haujaweka makisio yake.

Kwa haraka haraka hiyo nyumba haitapungua 70M, kitu ambacho si nyumba rahisi kwa sisi watanzania halisi wa milo chini ya mitata kwa siku.

Tuwekee na mifano ya walau nyumba ya 15-25M ikijumlisha gharama zote tuone.
 
boss hizi nilizoweka hapo ni mifano tuu wa nyumba 400 tulizo nazo (nafuu, kawaida, bungalow, ghorofa...)
ila zipo pia za nafuu

siwezi weka link hapa ( au WhatsApp me +255-657-685-268 nikupe link)
ila nenda google search
"House Plan ID-26509, 3 Bedrooms, 1246+619 Bricks And 51 Corrugates" hii itakugharimu kama 35 Mil kujenga kila kitu
na
nyingine
"House Plan ID-11210, 3 Bedrooms, 1096+418 Bricks And 50 Corrugates" na hii itakugharimu kama 30Mil kujenga kila kitu mpaka finishing

- kumbuka hizo nazungumzia kwa mtu anayejenga kwa kiwango kizuri cha kihandisi... bila kuchakachua mtaani!
 
Back
Top Bottom