ramani za nyumba

 1. D

  Ramani za nyumba na ujenzi

  Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services are of great value. contacts: 0654003555 mail:doltuarch@gmail.com
 2. Black Thought

  Ramani Bora za Nyumba kwa bei rafiki

  Habari wakuu, Tunatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba kwa bei/gharama nafuu. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako...
 3. nyumbanafuuu

  Jenga Nyumba Vyumba 3 Zinazotumia BATI CHACHE (~60) na TOFALI Chache (~2000)

  Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie? Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60 lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa...
 4. P

  Nahitaji 3d ramani ya nyumba ya ghorofa moja ya kisasa haraka sana

  For serious and registered architecture with style and touch and should have office in Tanzania, email me your contact urgently , I need a one floor affordable villa design with four bedroom , one home office, store, and car packing, the master bedroom should have a balcony and I will prefers...
 5. Obhusegwe

  EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

  Hello there wana-JF! Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!! Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia yangu, sasa nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua sehemu...
Top Bottom