ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,262
Mkoa ganiNa nakufahamu kumbe
Mkoa ganiNa nakufahamu kumbe
Siri yangu nisimwage kuku kwenye mchele wengi 😆😆Mkoa gani
Wanawake washamba ndio wife material??Heading isomeke " Orodha ya mikoa yenye wife material"
Muulize pia ushamba wa nini, au kakurupuka tu anaita watu washamba.Kwani ni nini maana ya neno "mshamba"?, umetumia vigezo gani katika utafiti wako?, umetumia sampuli ya watu wangapi kwa kila mkoa, katika mikoa uliyoitaja? Je wewe mwandishi unatokea mkoa gani??00
Nathani hujui unachoandika. Inaonekana wewe ndiyo mshamba1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Kwa majibu wa tang'ana mshamba ni yule anayevaa nguo za heshima.Muulize pia ushamba wa nini, au kakurupuka tu anaita watu washamba.
Muhaya anaweza kuita watu wasiokula ndizi zilizochanganywa na maharage mshamba. Au mkurya anaekula kichuri akawa mshamba kwa asiekula.
Acha ushamba tang'ana
Yhn wewe ni mjinga kweli1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Ndio hawa wajuaji sio wife materialWanawake washamba ndio wife material??
Hapo hapo kuna wajuaji pia unapata na wife materialsNdio hawa wajuaji sio wife material
Hapo sasa nimeelewa kama ndio hivyo asemavyo tang'ana basi ni halali kidumu SISIEMU na kiendelee kushikilia kamba za kuongozea farasi.😎Kwa majibu wa tang'ana mshamba ni yule anayevaa nguo za heshima.
Anaamini kuwa kuchana suruali kwenye magoti ndio ujanja hata kama kichwani ni empty, anaamini mwanamke anayevaa nguo zinazoishia mapajani na kwenye kitovu ni mjanja hivyo anashindwa kutofautisha ushamba na umalaya.
Wachache sanaHapo hapo kuna wajuaji pia unapata na wife materials
Hahaha 😂, kwa nini mkuu.Hapo sasa nimeelewa kama ndio hivyo asemavyo tang'ana basi ni halali kidumu SISIEMU na kiendelee kushikilia kamba za kuongozea farasi.😎
Hii imenifanya nitofautishe Ushamba na Ujinga😂😂😂😂
Kwa mujibu wa atang'ana Sisiemu ina haki iendele kudumu ifungue vichwa vya wabongo lala.Hahaha 😂, kwa nini mkuu.
Akivaa kwa heshima MSHAMBAKwa majibu wa tang'ana mshamba ni yule anayevaa nguo za heshima.
Anaamini kuwa kuchana suruali kwenye magoti ndio ujanja hata kama kichwani ni empty, anaamini mwanamke anayevaa nguo zinazoishia mapajani na kwenye kitovu ni mjanja hivyo anashindwa kutofautisha ushamba na umalaya.
Post ya kishamba sana hii1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Mtwara na Lindi tatizo kubwa ni accent baba accent, shughulikieni hilo 😂😂😂😂😂, Ruvuma&Mbeya wakiacha kutumia Ndakuja, Mi Ndataka, Mi Ndaenda kwao nk watakuwa vizuri 😂😂😂😂. Mwanza na Geita huko hamna wanawake wote ni wanaume1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma