Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
We kabila gani, we kwl ni bwege, utafiti uliufanya lini ulitumia njia gani. Yaani umevimbiwa na maharage huku ukiwa na chuki isiyo na sababu unaandika uharo humu? Ndiyo maana wanasema watanzania hawana furaha. Mtu km wewe furaha utaitoa wapi unachukia makabila yaliyo kwenye mikoa hiyo yote. Moyo umejaa chuki. Ila usisahau ktk hiyo mikoa hakuna kabila hutaikuta kwa maana nyingine we unachukia wanawake wote
 
Kwa mujibu wa atang'ana Sisiemu ina haki iendele kudumu ifungue vichwa vya wabongo lala.

Yaani umesema kwamba anaamini kuwa 👇👇👇👇👇
Akivaa kwa heshima MSHAMBA
Asipochana surualo kwenye magoti naapaja MSHAMBA
Asipoacha kitovu nje MSHAMBA
Akipiga magoti kusalimia MSHAMBA

SISIEMU bado mna miaka mingine 60 ya kutawala. Kidumu chama.😎
Hahaha 😂 hatari
 
Back
Top Bottom