Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

Umesema kweli, ningeandika kitu kuhusu last born wetu wa kiume now yupo kidato Cha kwanza,sema jf Kuna wasomi naogopa watanipopoa🙌
Tuwekee tuokote mawili matatu, wengine tunapenda kujifunza kila siku
 
Akiwa shoga ata athirika vipi na hiyo njia unayotaka kumpitisha?
Ushoga ni threat kiasi hiko cha kushindwa mtu kutimiza ndoto yake?? Au nini?

Mbona kunao mashoga ni wahandisi na madaktari wako field wanafanya kazi vyema kuliko hata straight.

Shida nini??
Huwezi kuwa engineer(civil & mechanical) alafu shoga. Mashoga fani yao urembo, japo kuna mmoja hata humu yupo kasoma computer engineering hapo UDSM. Alikua ombaomba humu - fungua code hiyo
Screenshot_20250920-130830_1.jpg
 
Back
Top Bottom