Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,806
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...
Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,147
2,000
Acha kulinganishq Lipuli na vitu vya ajabu
Mimi nimelinganisha na timu ya mzee Mpili, ile ya utopolo mkuu, kwa kuwa nao wana nguo za njano kijani, kama wale inzi wakubwa! Lakini kama nimekosea, Nisamehe sana mkuu!
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,804
2,000
Mimi nimelinganisha na timu ya mzee Mpili, ile ya utopolo mkuu, kwa kuwa nao wana nguo za njano kijani, kama wale inzi wakubwa! Lakini kama nimekosea, Nisamehe sana mkuu!
Nimekusamehe kunywa pepsi utalipa!
 

kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,036
2,000
Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.
Tumeona daraja lenu la million 31!! Hongereni kwa kujenga !!!
 

Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,113
2,000
Baada ya kuwaumbua juzi kwenye Uzi huu, Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

Nilidhani hawa vijana wangetumia akili kujiepusha na kikombe hiki, matokeo yake wameshupaza shingo.

Updates ni kwamba watatumia baadhi ya Askari kanzu na usalama wa taifa kufanya vurugu ili Chadema ionekane wamefanya vurugu. Hawa watapeana signal na Askari kisha wataanza kurusha risasi za moto.

Chadema kwa kutumia akili kubwa, watarekodi matukio yote kwa ustadi mkubwa na kama kawaida pumba na Michele vitapembuliwa when right time comes.

Nawaonya, CHADEMA hawataki ugomvi lakini mkiendekeza huu ujinga watawashtaki kwa Mungu individually
 

Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,113
2,000
Walinzi tupo wengi....4:19 usiku.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahahaha ukilala hii miccm unafanya mipango haramu, we need to heal this country

IMG_20210804_230257.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom