Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...
Mimi nimelinganisha na timu ya mzee Mpili, ile ya utopolo mkuu, kwa kuwa nao wana nguo za njano kijani, kama wale inzi wakubwa! Lakini kama nimekosea, Nisamehe sana mkuu!Acha kulinganishq Lipuli na vitu vya ajabu
Nimekusamehe kunywa pepsi utalipa!Mimi nimelinganisha na timu ya mzee Mpili, ile ya utopolo mkuu, kwa kuwa nao wana nguo za njano kijani, kama wale inzi wakubwa! Lakini kama nimekosea, Nisamehe sana mkuu!
Ahaaa, labda koka!Nimekusamehe kunywa pepsi utalipa!
Tumeona daraja lenu la million 31!! Hongereni kwa kujenga !!!Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.