Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Umeamua kuwa kama mimi mana sijawahi kula hiyo kitu huwa naona tu watu wanavyokula na hata hamu ya kula sijawahi kuwa nayo.
Yaani nilikuwa nawala kweli, wale wa kutengenezewa lakini. Tabu ilikuwa kwenye joto, ukiwa kwenye zile tarehe mbaya damu inachemka, ukipata mechi daaaah kabla mechi tayari, nikaona hii sio kawaida kuwasimulia makungwi wee wakanisihi nijaribu kuacha. Toka niache hata miezi sita naweza piga dash
 
pweza ni hatar anakufanya uwe addicted unaweza maliza hata laki nzima kwa siku ......kwa wanawake inasaidia kuboresha mambo fulan kwenye mwili
Mambo gani shekh,weka wazi
 
Tutasafiri kwa kasi yetu. Nyie sijui kama mtafikia umri wetu. Maana naona mna mwendo kasi hadi wa kuondoka duniani.
Mamshukuru Mungu kwa kunifanya niishi kwa miaka 90+
We bwana we
 
Pweza ni kitoweo kama vitoweo vingine tu
Maana hata majumbani wanapikwa kwa wingi haswa maeneo ya pwani
Sema zamani wanawake walikuwa na aibu kula ovyo njiani ila wasiku hizi wengi wao full kujiachia
Full kujiachia
Wee bwana
Hata mm naona mnavojiachia
 
Yaani nilikuwa nawala kweli, wale wa kutengenezewa lakini. Tabu ilikuwa kwenye joto, ukiwa kwenye zile tarehe mbaya damu inachemka, ukipata mechi daaaah kabla mechi tayari, nikaona hii sio kawaida kuwasimulia makungwi wee wakanisihi nijaribu kuacha. Toka niache hata miezi sita naweza piga dash
So kumbe pweza siyo wa kuendekeza sana kwa wanawake?
Umeenda deep sana
 
Back
Top Bottom