Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Kuna ubaya mkuu?? Binafsi nimeanza kula toka mdogo na ninawapenda kweli sidhan kama kuna ubaya
 
Pweza ni kitoweo kama vitoweo vingine tu
Maana hata majumbani wanapikwa kwa wingi haswa maeneo ya pwani
Sema zamani wanawake walikuwa na aibu kula ovyo njiani ila wasiku hizi wengi wao full kujiachia
 
Back
Top Bottom