Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Habari za weekend wakuu,

Kwa jiji la DSM sijui kwa mikoa mingine kuanzia mida ya sa 10 jioni zaidi kwenye vituo vya daladala biashara ya pweza ndo inaanza kupamba moto.
Imezoeleka wateja wa kubwa wa pweza ni wanaume na mara nyingi ndio wanao onekana wakinunua but siku hizi naona wanawake wengi kwel wakihusudu pweza.

Sijui wanawake wamegundua vitu gani hadimu kwenye pweza.
Kwa wanawake wanao nyonyesha pweza anafaa sana kwa ajil ya kuwaongezea maziwa na vitamini zingine kwa mtoto mwilini asa protini.
 
pweza ni hatar anakufanya uwe addicted unaweza maliza hata laki nzima kwa siku ......kwa wanawake inasaidia kuboresha mambo fulan kwenye mwili
 
Back
Top Bottom