Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Aiseeee, wale hapana kabisaaSo kumbe pweza siyo wa kuendekeza sana kwa wanawake?
Umeenda deep sana
Aiseeee, wale hapana kabisaaSo kumbe pweza siyo wa kuendekeza sana kwa wanawake?
Umeenda deep sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Anaongeza nguvu za kulaliwa na kubenjuliwa..chezea game dk 90+ mkikutana wote mmekula pweza hapo ndo balaa
Kumbe kweli inaeffect kwa wanawake pia?Pweza daaaah!!
Weka mbali na watoto
Aiseee!Yaani nilikuwa nawala kweli, wale wa kutengenezewa lakini. Tabu ilikuwa kwenye joto, ukiwa kwenye zile tarehe mbaya damu inachemka, ukipata mechi daaaah kabla mechi tayari, nikaona hii sio kawaida kuwasimulia makungwi wee wakanisihi nijaribu kuacha. Toka niache hata miezi sita naweza piga dash
Bob12 umenigandaa! [emoji4][emoji4][emoji4]Eeee
Haijakuongezea nguvu km paprika?
Mi siachi ng'oooo!Wewe endelea na kuwala tu
Unajua kama inaongeza nguvu ni vizuri!!! Mwanamke mwenye nguvu anamuambukiza nguvu mwanaume pia!!! We pata picha!!!Paprika ktk ubora wako
Inawezekana wanapata nguvu zaidi ila hawajijuiMay b ilikukataa ww tu.
Mana wenzako wanatumia tu
Sana tu, kama karanga zilivyo!! Hazina cha mwanaume wala mwanamkeKumbe kweli inaeffect kwa wanawake pia?
Ebu niongeze kasiSana tu, kama karanga zilivyo!! Hazina cha mwanaume wala mwanamke
Mhhh...acha uongo wewe,hebu tupe sababu nyingine ya mwisho zaidi ya kuwa tamu!Mimi binafsi napenda pweza tokea niko mdogo!!! Ni tamu ko sidhani kama kuna sababu nyingine pembeni.