Pole aisee
Hujapata walio andaliwa vzr
Hapana... Mi mwenyewe wa pwaniOk
Nilijua unalenga kwamba pwani wabaya
Hahahaaa! Kwani umri ukienda lazima uwe babu?
Hahahhhhh nimeelewa sasaSamahani mpenzi, unaweza kunisaidia hapo red unamaanisha nini?
Kuanzia mdomoni mpk tumboni chakula kinameng'enywa hatuna tofauti.Kwani kuna tafauti gani kati ya ulimi,tumbo na mfumo mzima wa umengenyaji wa chakula baina ya wanawake na wanaume
Tabu yooote hiyo ya nini wakati we are all alive and our inbox still allow text au yako haipokei joh!!Wee!!! Tena usipate picha kweliii!!! Utazini kimawazo
Wanawake nao ni wanadamu kama wanaume hivyo kama pweza inavyo wanufaisha wanaume plus kuwaongezea utamu , basi hivyo hivyo na kwa wanawake pia inawaongezea msisimko na utamu piaKumbe pweza analeta kautamu hadi kwa wanawake kumbe
Hiyo fasihi gani mkuu
We kama nani kchaa wwHumu haturuhusu mwandiko wa ki face book