Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Si zinamuongezea....Siku moja niko na shem wenu nkaona pweza nikajisemea ngoja ninywe kidogo mchuzi apa
Nikaagiza mchuzi yeye akagoma wakati naendelea kunywa nikawa namshawishi akakubali kula vipande viwili vya pweza na mchuzi akaishia kuonja tu na akanishangaa naupendea nini
Lakini tangu siku ile anapenda sana kunywa mchuzi wa pweza mpaka imekuwa kero kwangu
Tunaweza kuwa nyumbani ananiomba tutoke njiani kula pweza tu na hiyo unakuta ni usiku
Adi mimi najiuliza amegundua nini kwenye pweza huwa ofisini kwao wanawahi kufunga kuliko mm kwa hiyo huwa ananipitia ndo tunaenda om sasa akifika huwa kwafuraha kabisa na bashasha utaskia babe tunapitia kula pweza?eeh eeh! Anauliza tena na tena!. Yani sijui ni nn

MbantuWewe ni kabila gani paprika?
Sote wabantu....nina maana kukuuliza hivyo... Kuna makabila Pweza hata kumsogelea wanaogopaMbantu
Mi kabiala letu wajasiri nimejifunza kuchinja kuku na bata nikiwa na miaka 10... Pweza namchukua mzima mzima, namuosha, namchemsha, namkatakata na kumkaanga. Siogopi chochoteSote wabantu....nina maana kukuuliza hivyo... Kuna makabila Pweza hata kumsogelea wanaogopa
Unaonekana mtoto wa kipwani weweMi kabiala letu wajasiri nimejifunza kuchinja kuku na bata nikiwa na miaka 10... Pweza namchukua mzima mzima, namuosha, namchemsha, namkatakata na kumkaanga. Siogopi chochote
Nimekulia Dar ila si wa pwani!!!Unaonekana mtoto wa kipwani wewe
Ndo ushakuwa wa pwani hivyo... Mambo yote ya kipwani unayajuaNimekulia Dar ila si wa pwani!!!
Looo! Wa Pwani ndo wakoje?Ndo mana upo kipwani pwani
Usiogope... Wewe mi najua umechukua yale mazuri ya pwani... Mabaya umewaachia wenyewe... Ha ha ha ha.Looo! Wa Pwani ndo wakoje?