Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

Haki sawa... Pweza ni wazuri kwa jinsia zote kama zilivyo chips mayai na kuku nusu... A.k.a barbeque...
 
Kapicha ka pweza na sisi tumjue
ac9da68b7a4faae97ef6037b91abd6b8.jpg
 
Mi nimewahi kula pweza siku moja katika maisha yangu. Pweza wenyewe walikuwa na mchanga na sikuwahi kurudia tena
 
Wanawake nao wana upungufu wa nguvu
Pweza haongezi nguvu anaongeza rojo.... Kwa wanaume rojo kwa wanawake maziwa... Vile vinavyoungwa kwenye pweza (kwa wajuzi) ndo vinaongeza nguvu kwa wanaume na genye kwa akina KE.
 
Siku moja niko na shem wenu nkaona pweza nikajisemea ngoja ninywe kidogo mchuzi apa

Nikaagiza mchuzi yeye akagoma wakati naendelea kunywa nikawa namshawishi akakubali kula vipande viwili vya pweza na mchuzi akaishia kuonja tu na akanishangaa naupendea nini

Lakini tangu siku ile anapenda sana kunywa mchuzi wa pweza mpaka imekuwa kero kwangu

Tunaweza kuwa nyumbani ananiomba tutoke njiani kula pweza tu na hiyo unakuta ni usiku

Adi mimi najiuliza amegundua nini kwenye pweza huwa ofisini kwao wanawahi kufunga kuliko mm kwa hiyo huwa ananipitia ndo tunaenda om sasa akifika huwa kwafuraha kabisa na bashasha utaskia babe tunapitia kula pweza?eeh eeh! Anauliza tena na tena!. Yani sijui ni nn
 
Kwani kuna tafauti gani kati ya ulimi,tumbo na mfumo mzima wa umengenyaji wa chakula baina ya wanawake na wanaume
 
Back
Top Bottom