Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,469
- 2,207
Ya kazi gani sasa kufuga ng'ombe wa maziwa wakati uwezo wa kununua maziwa unao?nadhani mmenielewa wakina dada
Kweli kabisa mkuu...Mnataka mumkute mwanaume anakila kitu....sasa hao wapo wachache
hilo la mwisho kama ndo lina tijaHawaolewi kwa sababu mbili kubwa ya kwanza ni wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana mtoto anaanza mapenzi na miaka 15 mpaka afikishe 22 huyo hafai anakua na rambo sababu ya mwisho ni Hali ngumu ya uchumi
tatizo lenu mkivumiliwa badae mkifanikiwa mnamuona yule ‘mvumilivu’ mshamba flaniMnataka mumkute mwanaume anakila kitu....sasa hao wapo wachache
Aisee..kwa hyo tufanye je sasatatizo lenu mkivumiliwa badae mkifanikiwa mnamuona yule ‘mvumilivu’ mshamba flani
Hili ndio hasa tatizo kuu, ndoa zimekuwa kama fasheni sahivi! Wanawake hawana utu kabisa. Atavumilia kinafki ukishampa ndoa basi anarudi katika tabia zake mbaya. Ubinafsi, kiburi na umalaya wao ndo hasa umefanya wanaume wengi tukate tamaa nao.sio kweli, tatizo wanawake wanataka ndoa lakini kutimiza majukumu ya ndoa hawayawezi, wakishakuwa kwenye ndoa wasumbufu na sio wavumilivu na sio waaminifu, kwa hiyo wanaume wanaamua bora kununua huduma kuliko kuweka ndani moja kwa moja ni bora wanaume tununue pale tunapohitaji huduma.
Hahahah we jamaa kwanini umewasanua!?Wanawake wa kisasa wengi hawataki ndoa, wanataka HARUSI,
NA kama anataka ndoa basi anataka mteremko anataka benki.
bahati nzuri wanaume tumeshtuka. Kabla ya harusi tunapiga vetting ya kiwango cha lami bila wao kujua.
Kikwazo kikubwa ni wao wenyewe, wako too picky!
Kuna ukweli mwingi sana humu. Wale wanaopenda wanaume ma HB sijui tall smart and black ndio huwa wanaachwa kwenye mataa. Wanaume wenye sura serious na maisha hawawataki!Ndoa siyo ngono. Ngono kwenye mapenzi ni sehemu ndogo sana kwahiyo wanawake wengi hufikiri ili mwanaume amuoe ni kutoa papuchi kwa wingi.
Mwanaume ukimpenda, ukiwa mwaminifu, ukimvumilia na kumheshimu lazima akuoe lkn wengi wanasema mbona mm nimefanya lkn sijaolewa.
Jibu: wanawake wengi hubagua watu wa kuwapenda kwahiyo pindi mume wake (mwanaume atakayemuoa) anapokuja yy anakuwa hampendi, atamfanyia visa mpaka ataondoka matokeo yake anakuja mume wa mtu ( mwanaume ambaye hana mpango na yy) hapo anaanza kumpenda na kumheshimu matokeo yake jamaa anaenda zake. Anabaki kulaumu watu.
Acha abaki na ufundi wake kwasbb yy anafikiri ndoa ni ngono.
muwe na mapenzi ya dhati usiwe na mtu kwasababu analeta unafuu katika maisha yakoAisee..kwa hyo tufanye je sasa
Una uzoefu na ulichokiandika?Hawa viumbe wanalinga sana kwenye age 20-25.wakifika 30 tena muda huu wameota na vitambi ndio wanaanza kubembeleza ndoa tena utasikia siku hizi hunitafuti au hutaki tena kunioa[emoji23][emoji23][emoji23].
Nikiangalia mitandaon naona mara nyingi wanawake wako so excited na ndoa kuliko wanaume. Hii imekaaje?Yes
Wote wanakuwa na uhitaji wa kuoa, lakini kwa sababu moja au nyingine wanawake ndio wanaonekana kama ndoa kwao ni muhimu zaidi. Lakin
It just an appearence not real situation
Kwa hiyo ule usemi wa majuto ni mjukuu unawakumba sana dada zetu ?Wadada wenyewe mnachagua mpaka dushe mtaolewaje, nani anataka straika veterani wa vitanda?
Pamoja na hayo hakuna bint amewahi fikisha umuri wa miaka 28 hajapata mtu aliekuwa serious kuoa ila akaleta tambo au machaguzi na ngebe.
Wanawake ni watu wa hisiaNikiangalia mitandaon naona mara nyingi wanawake wako so excited na ndoa kuliko wanaume. Hii imekaaje?
Sijawahi kuona mwanaume anawaonesha wenzake au mtandaon picha ya kidole chenye pete ya ndoa.
Mimi mwenyew naweka interest zangu public. Nakumendea wewe hapo[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]Hata wanaume wanasaka sana wake ni vile awasemi tu.
Haaaa!!!Mimi mwenyew naweka interest zangu public. Nakumendea wewe hapo[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
Sidhan kama wote wapo hvotatizo lenu mkivumiliwa badae mkifanikiwa mnamuona yule ‘mvumilivu’ mshamba flani
Ila hata mimi huyo sista namuelewaga kishenzi yaaniMimi mwenyew naweka interest zangu public. Nakumendea wewe hapo[emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]looh mkuu niwie radhi tafadhali niliyenaye ananitoshaa kabisaaHata wa huku jf wanataka kuolewa ila zile ID tulizozoea hazileti maombi jukwaani, ID mpya ndio hutumika kuleta maombi humu, unaweza kukuta Demiss ndo kaleta ombi jana kwa ID mpya[emoji23]