Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Mpe muda tu huyo Khantwe akitoboa 30 atajitambuaDuuu tumetofautiana wakati mimi nambembeleza Khantwe nimuoe kumbe wengine wanalilia wa kuwaoa.
Cc Khantwe
Mpe muda tu huyo Khantwe akitoboa 30 atajitambuaDuuu tumetofautiana wakati mimi nambembeleza Khantwe nimuoe kumbe wengine wanalilia wa kuwaoa.
Cc Khantwe
Mmmh... Sio poa [emoji1] [emoji23] [emoji14] [emoji119]Mgagani zinafanya kazi..unampa tu wife atumie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunasubilia card za mchango mdogo wake....Mi sina wasiwasi najua babe upo kwa ajili yangu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Yani usiwaze kaka,huwezi kosaTunasubilia card za mchango mdogo wake....
Sawa mdogo wake.....Yani usiwaze kaka,huwezi kosa
Kivipi Chief? Ukiona ufundi unahisi huyu malaya?huo ufundi ndo unawaangusha
Nifundishe na mimi basiNimesoma comments zote za hapa na nimejifunza mengi sana
kwa mfano huyo amejuaje kama ye fundi???Kivipi Chief? Ukiona ufundi unahisi huyu malaya?
Kila kitu kinahitaji mazoez ili kukimaster kwa uzurKivipi Chief? Ukiona ufundi unahisi huyu malaya?
Hilo wazo tu kuwa huyu ni master kwahio kapiga sana zoezi linaleta ukakasiKila kitu kinahitaji mazoez ili kukimaster kwa uzur
kwa mfano huyo amejuaje kama ye fundi???
asa mi namwelewaje sasa...
Kila kitu kinahitaji mazoez ili kukimaster kwa uzur
TunasemaHata wanaume wanasaka sana wake ni vile awasemi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha [emoji1] ! Utelezi ukiisha ndio wanashtuka.Wakiwa katika peak hua wanaringa sana hawa viumbe.
Age 18_25 bado wana utelezi ule na naniii zao tight hua wanasumbua.
Usiegemee upande mmoja mkuu, huo upande wa pili nako wamezidi mashauzi bhanaa.Tatizo wanaume hawataki kuoa