Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Tatizo wanaume hawataki kuoa
Ndoa siyo ngono. Ngono kwenye mapenzi ni sehemu ndogo sana kwahiyo wanawake wengi hufikiri ili mwanaume amuoe ni kutoa papuchi kwa wingi.
Mwanaume ukimpenda, ukiwa mwaminifu, ukimvumilia na kumheshimu lazima akuoe lkn wengi wanasema mbona mm nimefanya lkn sijaolewa.
Jibu: wanawake wengi hubagua watu wa kuwapenda kwahiyo pindi mume wake (mwanaume atakayemuoa) anapokuja yy anakuwa hampendi, atamfanyia visa mpaka ataondoka matokeo yake anakuja mume wa mtu ( mwanaume ambaye hana mpango na yy) hapo anaanza kumpenda na kumheshimu matokeo yake jamaa anaenda zake. Anabaki kulaumu watu.
Acha abaki na ufundi wake kwasbb yy anafikiri ndoa ni ngono.
 
Hapo kuna ambao washaoa, mapadri, na yale mashoga....na wengine ambao hawana wazo la kuoa kabisa.

Tunabaki wachache.
Mapadri wanakuwa cancelled out na masister, na mashoga % ngapi? Hao waliooa wameoa wanawake kwahio usiwahesabu kwenye uchache.
 
Huyu Leila Omary nimeingia kwa profile yake anaonekana kashachezea sana ujana wake hadi kazalishwa pia nimtu Fulani hivi hajatulia na wanaume hatupendi mahusiano na mwanamke aliyezaa ukweli mchungu
 
Hawa viumbe wanalinga sana kwenye age 20-25.wakifika 30 tena muda huu wameota na vitambi ndio wanaanza kubembeleza ndoa tena utasikia siku hizi hunitafuti au hutaki tena kunioa.
Hahaha kuna mmja alinipigia simu karibuni anamuulizia kaka angu kama kashaoa, wakat nakumbuka alimkataa mbele yangu enzi hizo broh hajapata kaz ...wifi MTU nkajipinda kubembeleza bibie kagoma kabisa...time flies kwakweli
 
Ndoa siyo ngono. Ngono kwenye mapenzi ni sehemu ndogo sana kwahiyo wanawake wengi hufikiri ili mwanaume amuoe ni kutoa papuchi kwa wingi.
Mwanaume ukimpenda, ukiwa mwaminifu, ukimvumilia na kumheshimu lazima akuoe lkn wengi wanasema mbona mm nimefanya lkn sijaolewa.
Jibu: wanawake wengi hubagua watu wa kuwapenda kwahiyo pindi mume wake (mwanaume atakayemuoa) anapokuja yy anakuwa hampendi, atamfanyia visa mpaka ataondoka matokeo yake anakuja mume wa mtu ( mwanaume ambaye hana mpango na yy) hapo anaanza kumpenda na kumheshimu matokeo yake jamaa anaenda zake. Anabaki kulaumu watu.
Acha abaki na ufundi wake kwasbb yy anafikiri ndoa ni ngono.
Umeongea kitu cha ukweli kabisa mkuu,agiza unachotaka nakuja kulipa
 
Hawaolewi kwa sababu mbili kubwa ya kwanza ni wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana mtoto anaanza mapenzi na miaka 15 mpaka afikishe 22 huyo hafai anakua na rambo sababu ya mwisho ni Hali ngumu ya uchumi
Wazazi wao wanadai mahari kuubwa utadhani unaoa bikra kumbe mama.
 
Back
Top Bottom