Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Je unakubali kwamba takwimu za sensa huwa zna forgery ?
Sasa unahamisha magoli. Bahati mbaya takwimu ndio zinatupa majibu yanayokubalika siwezi kuchukua hisia zako kama jibu kwa sababu ya hisia kuwa takwimu zimeghushiwa. Btw mtu aghushi idadi ya me au ke ili apate nini?

Kuoa au kuolewa sio idadi ya me au ke. Kijijini kwetu tunaweza kuwa wanaume sita
na wanawake kumi kati ya hao wanawake wenye sifa ya kuolewa wakawa wanne tu matokeo yake wanaume sita mnagombea hao wanne.
 
Ok
 
Nakupa takwimu ya kidunia.IInashangaza
Wanawake 52%
Wanaume 48%
Kwenye kila wanaume 101kuna wanawake 100 so ratio is almost 1:1
Screenshot_2018-04-01-01-52-47.png
 
Nakupa takwimu ya kidunia.
Wanawake 52%
Wanaume 48%
Kwenye kila wanaume 100 kuna wanawake 101 so ratio is almost 1:1
View attachment 730930
Asante

Japo umerudia issue uliyowahi kuisema hapo kabla.

By the way takwimu zinaandaliwa na watu kwa interest zao.

Pia nmewah kushiriki ku forge takwimu ambazo zilikuwa znahitajika nje ya nchi na zkifika huko watasema ni takwimu sahihi na zitaaminika kama wewe ulivyoamini.

Lakin haihitajiki takwimu kujua kwamba idadi ya ke ni kubwa kuliko me.

ieleweke hapa nazungumzia idad ya ke walio tayar kuolewa vs me walio tayar kuoa.
 
Kipya nilichoona hapo ni kuwa watoto wa kike wanakufa sana baada ya kuzaliwa. Kama ulivyosema wanawake wanazaliwa wengi hata stats hapo zimeonesha 107/100 ila wanakufa wengi kiasi kwamba ratio inadondoka hadi 100/101.
Kuhusu wewe kufoji data inawezekana lakini data ya kuleta majibu kama haya haikusanywi na mtu mmoja, hivyo kukosa kwako uaminifu wewe mtu mmoja haiwezi kuleta significant deviation, hata watoa takwimu wanajua kuna ka +/-
 
Unakubali kwamba forgery zipo lakin unakataa mapungufu ya hizo takwimu.

Nakuuliza swali dogo lililo nje ya mada.

Takwimu znasema kwamba Wananchi walio wengi wanafurahia utendaji kazi wa rais magufuli.

je ni kweli walio wengi wanamkubali magufuli ?
 
Hio ya Magufuli siwezi kuijibu kwasababu imejikita zaidi kwenye hisia,chuki na mlengo wa kisiasa. Hii thread tukienda direction hio itaharibika.

Kama wewe hukubaliani na takwimu kwasababu unajua huwa zinaghushiwa basi huu mjadala hauna maana kwasababu majibu yote niliotoa mimi ni kwa mujibu wa takwimu.
 
Nakubali kutokukubaliana
 
Nakubali kutokukubaliana
Ngoja nimalizie. Wewe ni kijana msomi. Na wasomi mnasema tafiti hupingwa kwa tafiti. Hizo takwimu nilizoweka ni kwa mujibu wa tafiti, ungeniwekea takwimu nyingine kwa mujibu wa utafiti wako ili kukazia unachokisema wala tusingefika huku, mjadala ungeishia mistari miwili tu.
 
Nimekubali kutokukubaliana mkuu.
 
Duu hadi kamkubali dereva wewe sijui utakuwa unafanya kazi gani
Wanawake wengi akipewa lift tu, hata umbali wa mita 50, huwa hawakatai akitongozwa na aliyempa lift, sijui huwa wanafikiria nini?
 
Mdada aliyepata mume anamshukuru Mungu sawa na sisi wanaume tukipata kazi. Ndoa ni ajira kwa mwanamke.
 
Ni kweli wanawake na wanaume ki idadi tumetofautiana kidogo sana ila hoja ya wanawake kuwa wengi sana inakuja kimahitaji sana sana

Mwanamke wa miaka 22 na kuendelea ana uwezo wa kuwa na familia sababu wanaolewa na kulelewa na mume

Hapo ukiangalia mwanaume anayeoa mwanamke mwenye age ya 22 ni yule mwenye ama miaka 28-33 na si mwanaume mwenye miaka 22 kama yeye

Embu fikiria wanawake wakuolewa walivyo wengi hapo almost wanawake kuanzia miaka 22 kuendelea wanaitaji ndoa while wanaume ni mostly ni kuanzia miaka 27 au 30 kuendelea

Hapo tuna gap la miaka 5 au zaidi. Hii tofauti ndio inaleta wingi wa wanawake waitaji kuolewa tofauti na wanaume.
 
Huwa wanachelewa kujitambua.mfano dada mmoja aliposwa na mwalimu mmoja mstaarabu.akamtosa .mwalimu mimi nimpeleke wapi? Akshoboka na jamaa mmoja wa BoT kumbe yule yeye ni mdunguaji tu.baada ya kumdungua akatupa kule dada na kitoto chake.labda tarehe 9 ya makonda itasaidia
Tamaa zinawaponza hawa viumbe
 
Back
Top Bottom