Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,506
- 5,097
Waowaji wapo sna, ila tatizo hao wanaotaka kuolewa ndio hulatisha tamaaa muoaji.
Siku zote anayeoa hasemi, bali hutafuta mpz na kuanza nae mahusiano, mwisho wa siku jamaaaa huvutika na kilakitu, sasa wanawake wa siku hizi ukitongoza ya km umebonyeza KITUFE CHA SHIDA, utasikia zinga la hel ndipo hapo wanaume wanapo lala mbele