Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
wewe umeshaoa?Umeona eeh.
Tatizo siyo wanawake hawaolewi tatizo ni wanaume hawaoi.

wewe umeshaoa?Umeona eeh.
Tatizo siyo wanawake hawaolewi tatizo ni wanaume hawaoi.

Kama kuna mapadre kuna masista pia wanaovuruga ratio ni mashoga.Hapo kuna ambao washaoa, mapadri, na yale mashoga....na wengine ambao hawana wazo la kuoa kabisa.
Tunabaki wachache.
MtafuneHahahaha hazard unaniambia nipige kitu cha revenge
Nakuvumilia vyote ila ulevi uweke pembeni nsije nikapata hasira nikaiacha ndoaNdio babe,mapemaa tu nakuweka ndani,uvumilie hali yangu ya uchumi mpaka jiwe atoke,ulevi wangu n.k![]()
![]()
![]()
![]()
Hatari tupuKama kuna mapadre kuna masista pia wanaovuruga ratio ni mashoga.
Nakuvumilia vyote ila ulevi uweke pembeni nsije nikapata hasira nikaiacha ndoa
si one 4 ze road tu,,basi unywajiMkuu kwani wewe huchagui?Nyodo sana zinawatesa pindi damu inapochemka ,too much selection wapambane tu
Na vitambiHawa viumbe wanalinga sana kwenye age 20-25.wakifika 30 tena muda huu wameota na vitambi ndio wanaanza kubembeleza ndoa tena utasikia siku hizi hunitafuti au hutaki tena kunioa.

YesNa katika huo mpishano
Ni wote wanawake na wanaume wanakuwa na uhitaji wa kuoa ama kuolewa (mahusiano wa kimapenzi)?
AiseeePiga tu
Mmmh hivi kwenye sensa waliojumuishwa kwenye idadi ya wanawake na wanaume ni kuanzia umri gani?Yes
Wote wanakuwa na uhitaji wa kuoa, lakini kwa sababu moja au nyingine wanawake ndio wanaonekana kama ndoa kwao ni muhimu zaidi. Lakin
It just an appearence not real situation
Mwishoe mtu afe na ufundi wakeNdio muwawoe sasa sio mnawakula tu maufundi yao
Ukunywe kidogo usilewe sana mpaka ushindwe kutembea![]()
![]()
![]()
si one 4 ze road tu,,basi unywaji
Miaka 0- infinity hapoMmmh hivi kwenye sensa waliojumuishwa kwenye idadi ya wanawake na wanaume ni kuanzia umri gani?
Hawa viumbe wanalinga sana kwenye age 20-25.wakifika 30 tena muda huu wameota na vitambi ndio wanaanza kubembeleza ndoa tena utasikia siku hizi hunitafuti au hutaki tena kunioa.