Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
- Thread starter
- #21
KweliIdadi pia ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume
KweliIdadi pia ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume
Wana wake wazuri wazuri wameishaolewa....yamebaki manungayembe yanahangaika

sio kweli, tatizo wanawake wanataka ndoa lakini kutimiza majukumu ya ndoa hawayawezi, wakishakuwa kwenye ndoa wasumbufu na sio wavumilivu na sio waaminifu, kwa hiyo wanaume wanaamua bora kununua huduma kuliko kuweka ndani moja kwa moja ni bora wanaume tununue pale tunapohitaji huduma.Tatizo wanaume hawataki kuoa
Wakiwa katika peak hua wanaringa sana hawa viumbe.
Age 18_25 bado wana utelezi ule na naniii zao tight hua wanasumbua.

No Mkuu khantwe hana option MkuuBadili gia angani nenda kwa bi leila
Mkuu ulemutuz unatokea kwa sababu ya kuanza mapenzi mapema sana mtoto mdogo at the age of 15 anatembea na baba ake heheheeeHiyo si inategemea ntu na ntu...ila hapo unakuta anachumbiwa na kilemutuz lazima apige chini
Ndio mkuu..Daaah! KUMBE DUNIANI TUMETOFAUTIANA KWA KWELI MDA AMBAO WANAUME TUNAMUOMBA MUNGU ATUPE MKE WAKUO KUMBE NDO MDA AMBAO BAADHI YA WADADA NAWAO WANAOMBA MME WA KUWAOWA
Atakua na diploma yake ya cbe hahahahnice marketing strategy.. 😉
Hahahaha wa jf si ndio hao hao wa mtaani mkuu?Hao ni wanawake wa mtaani sio wa JF. Wa JF hawana shida na kuolewa.
Usiseme hatutaki kuoa, Wanaume tupo wachache.Tatizo wanaume hawataki kuoa
Atakua na diploma yake ya cbe hahahah
JF ni dunia inayojitegemea.Hahahaha wa jf si ndio hao hao wa mtaani mkuu?