RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,884
- 129,919
Hivi Tz kuna wanawake wangapi kwa kila mwanaume mmoja?Usiseme hatutaki kuoa, Wanaume tupo wachache.
Hivi Tz kuna wanawake wangapi kwa kila mwanaume mmoja?Usiseme hatutaki kuoa, Wanaume tupo wachache.
Sijui asee ila nahisi inaweza kuwa ratio ya 1:7Hivi Tz kuna wanawake wangapi kwa kila mwanaume mmoja?
Kwa takwim ya sensa ya 2012Hivi Tz kuna wanawake wangapi kwa kila mwanaume mmoja?
Tunadanganyana sana. Kuna siku nilimsikia mtu wa takwimu akisema sensa ya mwisho Tz kulikuwa na watu 50m. Kati yao hao 26m ni wanawake na 25m ni wanaume. Kwahio kwa kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1.04 yaani basically its 1:1Sijui asee ila nahisi inaweza kuwa ratio ya 1:7
Very true, ratio is almost 1:1Kwa takwim ya sensa ya 2012
Yaan hatupishani kidogo
Kote Tz na Bara wanawake wana zidi ila ni less than 2%
Hii ishu ya kusema wanawake wengi, siyo kihiivo kama watu wanavo kuwa wana i present
Umeona eeh.Very true, ratio is almost 1:1
Kipindi cha nyuma walianza kuolewa wakiwa na umri gani,?Hawaolewi kwa sababu mbili kubwa ya kwanza ni wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana mtoto anaanza mapenzi na miaka 15 mpaka afikishe 22 huyo hafai anakua na rambo sababu ya mwisho ni Hali ngumu ya uchumi
Na katika huo mpishanoKwa takwim ya sensa ya 2012
Yaan hatupishani kidogo
Kote Tz na Bara wanawake wana zidi ila ni less than 2%
Hii ishu ya kusema wanawake wengi, siyo kihiivo kama watu wanavo kuwa wana i present
Kaka nimetafutwa juzi na dem mmoja nilimfukuzia sana kipindi niko chuo. Dem alikuwa mzuri, na yzuri bado anao, alikuwa hashikiki anatembea tu na ma lecturer, ma prof. Basi akawa ananipiga chin kipa sound. Mwaka wa pili aka disco, mm nikamaliza chuo, nikapata mbishe, miaka kama mitatu hiv sija ongea nae aisee, juz kani text , ananiuliza ndio nimempotezea , hili jambo si la kawaid maana alikuwa hashikiki. (Sasa hiv ni singo maza)Hawa viumbe wanalinga sana kwenye age 20-25.wakifika 30 tena muda huu wameota na vitambi ndio wanaanza kubembeleza ndoa tena utasikia siku hizi hunitafuti au hutaki tena kunioa.
Kigongo msumari....Umeona eeh.
Tatizo siyo wanawake hawaolewi tatizo ni wanaume hawaoi.
HahaaaKigongo msumari....
Ana tatizo huyohuyo dada kaniacha hoi
Piga tuKaka nimetafutwa juzi na dem mmoja nilimfukuzia sana kipindi niko chuo. Dem alikuwa mzuri, na yzuri bado anao, alikuwa hashikiki anatembea tu na ma lecturer, ma prof. Basi akawa ananipiga chin kipa sound. Mwaka wa pili aka disco, mm nikamaliza chuo, nikapata mbishe, miaka kama mitatu hiv sija ongea nae aisee, juz kani text , ananiuliza ndio nimempotezea , hili jambo si la kawaid maana alikuwa hashikiki. (Sasa hiv ni singo maza)
Hapo kuna ambao washaoa, mapadri, na yale mashoga....na wengine ambao hawana wazo la kuoa kabisa.Tunadanganyana sana. Kuna siku nilimsikia mtu wa takwimu akisema sensa ya mwisho Tz kulikuwa na watu 50m. Kati yao hao 26m ni wanawake na 25m ni wanaume. Kwahio kwa kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1.04 yaani basically its 1:1
Hio siku ndio nikaamini NI RAHISI KWA MWANAMKE KUOLEWA KULIKO MWANUME KUPATA MWANAMKE WA KUOA. Kwasababu kati ya hao 1:1 sio wote wana sifa za kuolewa, bado kuna wanaume wana wanawake zaidi ya mmoja. Wife material mmoja unakuta ana options kadhaa za wanaume, huku mwanaume unaweza kuwa na wanawake 6 hamna hata mmoja unaona anafaa kuwa mke.
Hahahaha hazard unaniambia nipige kitu cha revengePiga tu