Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Huyu dada amevuma leo nimemfatilia kwa kina walahi nimemkubali ana akili nyingi sana
 
Kipindi cha nyuma walikua wakiolewa hata na miaka 13 ila wa sasa hawaolewi kwa umri huo ni wanatumika tu mwanaume atampata akiwa na miaka 23 and above hapo rambo lazima liwepo
Sasa hao wanaume wanaowatumia kwa nini hawawaoi?
 
Leila Omary

Mmesambaza hadi post yangu ya
kutafuta mume kwenye magroup
yenu huko? aiseeee!mbona ivyo?
mnanionea

Saa 5 · Hadharani
 
Ndoa tumewachia wazee waongeze idadi. Sisi kazi yetu haswaa ni kuwasaidia kunako 6*6 , majukumu hatutaki
 
Kaka nimetafutwa juzi na dem mmoja nilimfukuzia sana kipindi niko chuo. Dem alikuwa mzuri, na yzuri bado anao, alikuwa hashikiki anatembea tu na ma lecturer, ma prof. Basi akawa ananipiga chin kipa sound. Mwaka wa pili aka disco, mm nikamaliza chuo, nikapata mbishe, miaka kama mitatu hiv sija ongea nae aisee, juz kani text , ananiuliza ndio nimempotezea , hili jambo si la kawaid maana alikuwa hashikiki. (Sasa hiv ni singo maza)
UNAHIS ANAKUPENDA AU ANATAKA KUKUIBIA...JASHO LAKO...UKIONA MWANAMKE ANATAKA KUOLEWA NA WEWE UJUE ANATAKA KUKUUA ILI AMILIKI ULICHONACHO...HAKUNA MAPENZI KUNA UPOARAJI TUU...
 
Wadada wenyewe mnachagua mpaka dushe mtaolewaje, nani anataka straika veterani wa vitanda?
Pamoja na hayo hakuna bint amewahi fikisha umuri wa miaka 28 hajapata mtu aliekuwa serious kuoa ila akaleta tambo au machaguzi na ngebe.
 
Back
Top Bottom