Mdau
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,789
- 477
we kweli sio mzima,yani kumjua adui yako ndo ushinde vitainama ufikiri..si ujaribu uone? sana sana yeye atakaa pembeni utapigana na nduguyo! hivi hujui kumjua adui yako umeshinda vita?
Pastor uko[emoji106]Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,
Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua
Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee
Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe
Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha
Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi
Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua
Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri
Silaha
Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi
Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap
Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri
Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora
Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
hawa jamaa kila siku wanatengenez siraha mpya,yani ni ngum kuwazuiy awa jamaa kweny vita
acha kutuongopea wewe iyo sirah gani ambayo marekani katengenez alafu urusi washindw kutengenez tatizo mnaongea kiushabik tu pasipo kujua hata izo siraha zenyew.izo ndeg alizokuw kuw nazo usa nyingi ni za kusafirishia watu na mizigo sasa ingia kweny ndeg aina ya attack,fighter na bomber ndo useme marekan ana ndeg nying,sasa ukitaka ujue warusi ni noma njoo kweny vifaru na makombora.we ushangai ulaya kuna nchi ngapi+ marekani lakin mbele ya jamaa awaongei kitu
Inapita njia ipi wakati kuna S-400 na PAK T 50The only combat-ready, fifth generation fighter plane in the world!!
Ni zaidi ya Pentagon kwa mujibu wako na kwa mujibu wa media yenu ya sputniknews.com ambapo kila silaha ya Russia media hiyo hudai ndio kali kuliko zote duniani
Umewahi kusikia simba wakiisifia yanga? Au yanga wakiisifu simba?
Kila mmoja atajisifu mwenyewe
Wake up chief
Silaha za Pentagon zinajiuza zenyewe hazihitaji propaganda kama silaha za kirusi, ukifungua media za Russia 24/7 ni kusifia silaha zao, mbona wanajishuku sana,
Ukifungua CNN, ABC, CNBC na zingine nyingi, Unakuta Muda wote wanahangaika na habari za kimataifa na za uchaguzi wao, Russia ni kusifu silaha asubuhi hadi jioni, ni hofu hamna lingine
kumbe michekechea mingi humu! sawa umepata inalia nyau nyau...we kweli sio mzima,yani kumjua adui yako ndo ushinde vita
Acha uongo wew karbu 70% ya deni la US linamilikiwa na US wenyewe na sehem ya den China anayomiliki haizid ht 20%Nakubaliana na wewe....wengi wanaongea kiushabiki tu...the so called ufalme wa Marekani ndiyo umefikia kikomo...sasa hivi tunaelekea kwenye new world order...hakuna tena mambo ya uni-polar...USA hawezi kufanya kitu kwa Russia kwa sasa, akifanya fyoko fyoko anamalizwa na makombora yaliyolenga miji yote ya USA...of course na USA nayo ina makombora yaliyolenga Russia...sasa kilichobaki ni kuviziana ni nani atafanikiwa katika first strike jambo ambalo ni gumu...hivi hawajui kuwa USA ina deni kubwa kwa China...Uchumi wa Marekani umeshikiliwa na China kwa sehemu kubwa...vikwazo dhidi ya Russia vimeshindwa kufanya kazi...PUTIN na Russia yake wanazidi kudunda tu...ameingia Syria, Marekani akadhani Russia itashindwa lakini wapi....
Acha uongo wew karbu 70% ya deni la US linamilikiwa na US wenyewe na sehem ya den China anayomiliki haizid ht 20%
Nmekuwekea na screen shot uone sim yangu inazngua nltaka nkuwekee na source kabsaeeeeh, haya bwana, wewe ndiye unayejua zaidi...bado hamuani kwamba mambo yamebadilika
Hilo nalo nenoNATO ni karibia nchi 28 wote hawa wanamgwaya mtu mmoja tu RUSSIA huoni kwamba huyo ndiyo mwanaume
Eeeh hii umetoa wapi ?Humu kunawatu wanachekesha sana ila mkae mkijua hakuna kiumbe au binadamu anaweza kuivamia Rassia kijeshi. hat Dunia nzima iunganishe majeshi yote na. Mrusi asimame pekeake
Watoto wenye kuchukua habari kijiweni ? Jamii forum yenyewe ni kijiwe ,hutonielewa mpaka ukutane na mdau anayeitwa Deception ndio utaelewa unachoambiwa changanya na zakoBaba mchungaji Asante sana kwa ufafanuzi yakinifu uliokwenda Shule, nimepata elimu kubwa sana kwenye maelezo yako
Nimeelewa kuwa kumbe kuwa super power sio suala la uwezo wa kijeshi tu bali ni vitu vingi, ikiwemo kutawala mifumo ya kifedha, kibenki, kibiashara, nguvu ya sarafu na kadhalika
Ni wazi vitu hivyo vitamkwamisha Russia kuwa super power kama marekani, hata kwenye jeshi Ingawa Kuna mjadala mkubwa marekani yupo dunia nzima kijeshi kila bara yupo akitunisha misuli
Mchungaji nimefaidika sana, sisi watu wazima tumekuelewa shida ni kwa hawa watoto wenye kuchukua habari vijiweni
Teh tee dah unanifurahisha wwKatika mapunguani niliowahi kuwaona JF, wewe ni kati ya top three.
Uchafuzi wa lugha yako ya taifa kwenye halaiki ya jamii unauita mambo "madogo madogo"?
Kumbuka, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.
Tena wewe jifunze kutumia spacing kwenye maandiko yako.
Kosea lugha uone.
Hiyo ni stealth plane, bana. S-400 haioni kitu! PAK T 50 haifanyi kazi. Imewashinda kuimalizia.Inapita njia ipi wakati kuna S-400 na PAK T 50
Ww kweli mtoto Wa kukuUlikuwepo urusi au umeona YouTube?
Sentensi zinakinzana!!! Which is which?..USA hawezi kufanya kitu kwa Russia kwa sasa, akifanya fyoko fyoko anamalizwa na makombora yaliyolenga miji yote ya USA...of course na USA nayo ina makombora yaliyolenga Russia...sasa kilichobaki ni kuviziana ni nani atafanikiwa katika first strike jambo ambalo ni gumu.....
Za marekani ni very expensive compare to Russia Na ni Bora zaid .thuswhy they decide to buy from Russia despite sanction