One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,

Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua

Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee

Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe

Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha

Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi

Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua

Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri

Silaha

Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi

Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap

Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri

Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora

Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
Hichi ulichokiandika ni kile unachoweza kukitafutatafuta popote uwezapo kutaka kujua uhalisia lakini ukweli unabaki kuwa uwezi, wingi, ukubwa wa silaha na jeshi kwa ujumla inabakia kuwa siri ya nchi husika, Tanzania tu huwezi jua ina ndege ngapi.
 
Katika mapunguani niliowahi kuwaona JF, wewe ni kati ya top three.

Uchafuzi wa lugha yako ya taifa kwenye halaiki ya jamii unauita mambo "madogo madogo"?

Kumbuka, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu.

Tena wewe jifunze kutumia spacing kwenye maandiko yako.

Kosea lugha uone.
ukipenda kukosoa usichukie kukosolewa.Naona tayari umeshaanza kutoa matusi,tena mwanamke,unatukana hadharani,sijui ni malezi ya aina gani wewe umepata.
wewe unadai ninachafua lugha,soma vizuri ulichoandika hapo juu uone jinsi ulivyochafua kiswahili,halafu wewe unajifanya mkososji wa wachafuzi wa lugha.
Narudia tena hata kama utatukana hadi ufike kileleni,kosa lako kubwa ni kwenda nje ya MADA.Wanaume na wanawake makini wanajadili hoja iliyopo mezani wewe unahangaika na HERUFI,watu watajifunza nini kutoka kwako.Hamna mchango wowote wa maana uliowahi kutoa humu zaidi ya kujadili vitu vidogovidogo.
Kwa tabia zako za kujadili vi herufi,watu wanaweza kudhani ni udhaifu wa wananwake wote,wakati sio kweli, kumbe ni wanawake wachache tu, ambao wewe ni mmoja wao.Na hii ndio inawafanya baadhi ya watu waone wanawake wana mawazo finyu, wakati sio kweli.
Jadili au kosoa ujumbe wa mchangiaji au mtoa mada achana na kuangalia mwandiko,hoja iliyopo sio lugha,kama unataka mambo ya lugha kakosoe jukwaa la lugha,napo inategemea wanjadili nini.
Nasema hivi, umependa kukosoa usichukie kukosolew.Kwa kweli huna mchango wowote wa maana kwenye mada za watu zaidi ya USHARI tu.Hakuna kitu watu wanaweza kujifunza kutoka kwako.
Wanawake wengi humu wanatoa michango ya maana na elimu,watu tunajifunza kwao,lakini sio wewe.
Unawaaibisha sana wanawake wenzio,na unarudisha juhudi za kudai 50 kwa 50.
Umenitukana lakini siwezi kukujibu kwa sababu naogopa na mie nitaonekana kama wewe. ............akikuvua nguo hadharani chutama,ukimfukuza utaonekana uko kama yeye.
Sasa nafunga majibizano na wewe,nakuruhusu utukane hadi ufike kileleni,maana pengine malezi na makuzi yanahusika.
JADILI HOJA.
 
Hujatukanwa unaona umetukanwa, jee ukitukanwa si itakuwa mwao!

Post hii umejitahidi kidogo kwenye spacing, inabidi uongeze jitihada na upunguze kiherehere.
 
je, una data tofauti na zile za FORBES, WIKIMEDIA & CIA?

Mkuu tatizo kubwa hapa ni Watanzania wachache wanaotambua kwamba kampuni ya Google inatumiwa sana na CIA na FBI kwa malengo maalum ndio maana baadhi ya Mataifa yaliyo endelea yamepiga marufuku search engine hiyo kutumika nchini mwao, Google ina serve interest za America kwanza mambo mengine ni secondary kwao, kwa hiyo usichukulie kila kitu unacho search kwenye Database zao kama ni Gospel truth, tafuta a second opinion kutoka kwenye search engines nyingine mbona ni nyingi tu - Google ya juzi juzi tu.
 
kweli mnapend vibay,yani akuna kitu ambacho urusi katengenez marekan kashindw.roketi tu za kwend angani zinawashind,pia kuna kitu kinaitw (ss-18satan) hadi dunia inaisha uyo marekani awezi kutengenez kombor kama ili uzito wake tu ni tani 206,lina vichw 10 +vichw 30 vya kupotez makombor ya ulinz,wao wanaishia tu kutengenez makombor ya kawaid
Air defence system ya marekani ni dhaifu mno,huku urusi ikitajwa kuwa tishio kwa missile za masafa marefu na zenye madhara makubwa
 
Mkuu kwa ufupi tu ni kuwa najua nachokisema, ukweli ndio huo

Hivi kweli ndugu masunga Kuna mtu mwenye akili timamu anae weza kukataa kuwa marekani sio baba wa dunia kwa maana ya super power, ukiona mtu anabisha hilo kimbia kabisa usihangaike hata kubishana nae

Naikubali sana Russia, kama global power anae rise kwa kasi, lakini bado ana safari ndefu hasa kwenye uchumi, in fact China anamfukuzia America kwa karibu sana, uchumi na biashara, biashara kati ya China na mabara mengine ikiwemo America ni ya kiwango cha kuogopesha, currency ya China inaitisha dollar kwa sasa Ingawa bado lakini ni tishio

China inafahamu kuwa na military might pekee hakuwezi kufanya ukawa super power, unahitaji kwanza kuvunja American financial superiority in the world, hii ni pamoja na kuivunja dominance ya dollar katika international trade, pia kuivunja dominance ya America katika banking system,
Nadhan unafahamu kuwa mfumo wa kibenki wa kimataifa umekua dominated na marekani na washirika wake na wameu integret na system zao, mabenki ya kimagharibi ndio yanatumika sana kwenye international trade
Ndio maana ukiwekewa vikwazo na hawa mabwana wa magharibi mabenki karibu yote duniani yana apply hivyo vikwazo dhidi yako, jina la nchi yako au lako lina ingizwa kwenye system ya bank zote, hakuna unachoweza kufanya iwe kuagiza au kuuza bidhaa

Naomba kama huniamini huende bank hata leo ujifanye unataka kulipia mzigo wako ambao umeununua online uone utajibiwa nini, cashier we are sorry sir haturuhusiwi kufanya transaction kwenda nchi hiyo, na ukienda bank zote utajibiwa hivyo, bank ikikaidi vikwazo vya marekani ikigundulika inakua imejiua,

That is what it takes to be a super power au mfalme wa dunia, unashikilia vitu vyote muhimu duniani, uchumi, military, sports, science, njia za mawasiliano,karibia wote duniani ikiwemo watu wa Russia na China tunatumia yahoo, instagram, tweeter, Facebook, vyote hivyo ni vya kimarekani

Itachukua miaka mingi sana even life time kwa marekani kunyanganywa ufalme wa dunia

Kwa habari ya silaha wote tunajua marekani yako mbele ya kila mmoja duniani, Ingawa gap la capabilities limebaki dogo kati ya marekani na Russia lakini militarily ni gap muhimu sana, na Russia anakimbizana na Muda kuliziba kabisa gap hilo lakini sio rahisi kwa sababu za kifedha, ni ngumu sana Russia ambae defense budget yake + ile ya China kwa pamoja hazijaifikia defense budget ya marekani
Na hiyo budget ya marekani sehemu kubwa inaenda kwenye utengenezaji wa silaha na program za silaha kwa ujumla, hii ni pamoja na ndege mpya za kisasa, maintenance ya old aircraft, kuzi mordenise meli za kivita na kuziwekea mifumo ya kisasa, pamoja na program za uzinzi anti missile-defense system zisiweze kushambuliwa na ballistic missiles, sehemu ya pesa hizi pia huwekwa kwenye program za kusaidia majeshi washirika hasa majirani wa Russia ambao marekani ameweka kambi huko akiizunguka Russia kwenye mipaka yote, Estonia, Lithuania, Latvia, Slovenia, Finland, Poland, maldova, etc
Kwa uwepo wa majeshi ya marekani katika nchi zote hizo zinazoinguka Russia ni sawa na kusema marekani imeizingira Russia pande zote that's why Russia iko desperate na suala hilo

Mwisho
Najua kuwa vijana wengi humu wana mihemko na kukaririshwa au kulishwa sumu either na wenzao humu humu ndani au ni wasomaji wazuri wa sputniknews.com, na hivyo kupata habari za kijeshi za upande mmoja unbalanced na ambazo zimetokana na opinion za waandishi au experts ambao ni pro Russians
Pamoja na kufuatilia Russian media nashauri wafuatilie pia media za upande mwingine kuweza ku balance ufahamu wao
Wewe ndio muongo kabisa,huyo mchina juzi juzi amenunua ndege sita aina ya su 28,sasa unaanzaje kumsifia mchina
 
Nilifuatilia sana sakata la F-22, the battle for X planes between Boeing na Lockheed, gharama zilikuwa juu sana na walifanya utafiti wakagundua kuwa it will be too expensive for most clients, wengi walishalalamika kuwa hizo jets zipo very expensive, usibishe kiongozi.

1.Lockheed Martin F-22 Raptor
2.Lockheed Martin F-35B
3.Sukhoi PAK FA.
4.Chengdu J-20
5.Shenyang J-31

Namba 2-5, are still under final tests as per USA. Si unajua USA lazima yeye aseme kwanza ndio mkubali.

Sio lazima US aseme ndo nikubali. Kwa hiyo naomba unipe source ambayo sio toka US. Mie nimekupa link. Sibishi for the sake ya kubisha ila tunaeleweshana tu. Ebu pitia hiyo link. US Air Force Lt. Gen. Jeffrey Kohler, anasema "This airplane was built to give us an edge way into the future, and that’s why it’s not exportable."
 
Wewe ndio muongo kabisa,huyo mchina juzi juzi amenunua ndege sita aina ya su 28,sasa unaanzaje kumsifia mchina
Kuna sehemu kasema mchina yupo vizuri kumshinda mrusi kijeshi? Nyinyi ndio huwa mnafeli mtihani kwa kushindwa kusoma maelezo

Ameilezea China upande wa uchumi kwamba inaifukuzia marekani kwa karibu kiuchumi, na hilo ndio jambo muhimu, marekani inatisha nchi mbali mbali kwa utajiri, anatumia pesa yake kama fimbo ya kutawala dunia, hivyo China anafuata nyao hizi, kutengeneza uchumi mkubwa na kufikia au kuipita marekani, ukishakua na pesa unaweza kununua au kutengeneza silaha yoyote, China kwa kipindi kifupi tu imetengeneza aircraft carrier yake, fighter jet za kisasa, inanunua silaha inazotaka kutoka Russia

Ni wazi kwa uchumi wa China itakuja kuchukua nafasi ya marekani miaka michache ijayo
Kuwa super power sio kuwa na jeshi kali pekee, kwanza kikubwa ni utajiri, na hii ndio inamkwamisha mrusi, ameimarisha jeshi lakini uchumi wake upo nyuma ya wakubwa wenzie kwa mbali

Hukuelewa mantiki ya Hoja ya huyo ulie mjibu ukakurupuka kujibu, huwa mnafeli mtihani hivi hivi

Wewe sekta yako ni mabasi, unajua mabasi yote mazuri na mabaya, yenye choo na yasiyo na choo ndani, kila aina, Rudi tu hizo mada za magari huku ni level zingine hapakufai, utadhalilika
 
Hivi inakuaje haya mataifa yanayoendelea kama Tanzania yasishirikiane na Urusi kwa nyanja ya teknolojia ya viwanda na anga kufanya project kubwa na nzuri ukizingatia nchi nyingi zinazoendelea hasa Afrika bado teknolojia ni duni sana, mfano China na India zinavyofaidika na uhusiano mzuri usio wa kinafiki na Urusi. Utakumbuka kuna joint work inayoendela kati ya Sukhoi na Hindustan Aeronautics Limited (HAL) kwa PAK FA/T-50 fighter jet programme. Nafikiri kwa kuimarisha uhusiano na taifa kama la Urusi inakuwa faida nyingi kuliko hasara. Au sijajua tatizo ni nini?
 
Hiyo ni stealth plane, bana. S-400 haioni kitu! PAK T 50 haifanyi kazi. Imewashinda kuimalizia.
Haaa wewe ama kweli una mahaba na terrorist USA hivi hiyo vita ya syria unafuatilia kinachoendelea,unadhani iran ni wajinga kununua S 300 kulinda vinu vyao vya nuclear ili hali wanajua Israeli wanauwezo wa kuazima F 22/35 au kuwa nayo kabisa
 
Kwa hiyo Kwa sababu Iran wamenunua hiyo hiyo S 300 automatically Inaweza kutungua F22? Logic ya wapi hiyo?
 
Kama US kiteknolojia yupo mbali basi abuni defence system ambayo itakuwa within us soil na iwe na uwezo wa kuzuia makombora yasiingie kwenye anga yake kama mrusi anavyofanya mbona anaangaika kuweka mitambo dunia nzima kujilinda?
 
Unaangalia idadi ya ndege au effectiveness yake?
Kwa miaka mingi Western powers wame underrate nguvu za kijeshi za Urusi.
Siku zote kobe akiinama........ Russia ametengeneza silaha chache ambazo ni very effective.
Last year Syria, amerusha makombora ya masafa marefu Kalibir KN 28 precision Cruise Missile zilizorushwa na vimeli vidogo coverts aka Little Boys.
Mpaka leo western powers wanashangaa iweje meli ndogo zirushe makombora ya tani nzito hivyo jibu ni moja Russia anachezea military technology kama anavyotaka. With limited finances anatengeneza makombora effective kupitia vitu vya kawaida...
Russia coverts zinaweza ku jam au kuzamisha kirahis USA Destroyers.
BRN imetoa results kwenye MoD yao.
Quantity vs Quality[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,

Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua

Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee

Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe

Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha

Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi

Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua

Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri

Silaha

Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi

Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap

Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri

Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora

Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
mkuu umeeleza vyema, #salute kwako#.
 
uyo marekani lini alikuw mbabe wa dunia,vikwazo tunawekew nchi kam kam Tanzania maan ni tegemez ila sio urusi,uyo marekani anapelek nin urusi bora waseme europe maan wananunua gesi na mafut kutok urusi.urusi imekamilik kila kitu kun viwanda vy kila aina madini ndo usiseme kilimo ndo sehem yake sasa unategemea ao watu wataitaji msaad kam siye
mkuu itakua huangalii "international news" warusi walikuwa wanalalamika kuwa vikwazo vya kiuchumi vimesababisha hali ya maisha imekua ngumu hadi silaha zao haziuziki, kikaoneshwa na kiwanda cha silaha huko russia, wale wajeda wanalalamika kuwa silaha zao zimekuwa useless coz walitegemea profit on return.
 
Back
Top Bottom