One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

Mkuu kwa ufupi tu ni kuwa najua nachokisema, ukweli ndio huo

Hivi kweli ndugu masunga Kuna mtu mwenye akili timamu anae weza kukataa kuwa marekani sio baba wa dunia kwa maana ya super power, ukiona mtu anabisha hilo kimbia kabisa usihangaike hata kubishana nae

Naikubali sana Russia, kama global power anae rise kwa kasi, lakini bado ana safari ndefu hasa kwenye uchumi, in fact China anamfukuzia America kwa karibu sana, uchumi na biashara, biashara kati ya China na mabara mengine ikiwemo America ni ya kiwango cha kuogopesha, currency ya China inaitisha dollar kwa sasa Ingawa bado lakini ni tishio

China inafahamu kuwa na military might pekee hakuwezi kufanya ukawa super power, unahitaji kwanza kuvunja American financial superiority in the world, hii ni pamoja na kuivunja dominance ya dollar katika international trade, pia kuivunja dominance ya America katika banking system,
Nadhan unafahamu kuwa mfumo wa kibenki wa kimataifa umekua dominated na marekani na washirika wake na wameu integret na system zao, mabenki ya kimagharibi ndio yanatumika sana kwenye international trade
Ndio maana ukiwekewa vikwazo na hawa mabwana wa magharibi mabenki karibu yote duniani yana apply hivyo vikwazo dhidi yako, jina la nchi yako au lako lina ingizwa kwenye system ya bank zote, hakuna unachoweza kufanya iwe kuagiza au kuuza bidhaa

Naomba kama huniamini huende bank hata leo ujifanye unataka kulipia mzigo wako ambao umeununua online uone utajibiwa nini, cashier we are sorry sir haturuhusiwi kufanya transaction kwenda nchi hiyo, na ukienda bank zote utajibiwa hivyo, bank ikikaidi vikwazo vya marekani ikigundulika inakua imejiua,

That is what it takes to be a super power au mfalme wa dunia, unashikilia vitu vyote muhimu duniani, uchumi, military, sports, science, njia za mawasiliano,karibia wote duniani ikiwemo watu wa Russia na China tunatumia yahoo, instagram, tweeter, Facebook, vyote hivyo ni vya kimarekani

Itachukua miaka mingi sana even life time kwa marekani kunyanganywa ufalme wa dunia

Kwa habari ya silaha wote tunajua marekani yako mbele ya kila mmoja duniani, Ingawa gap la capabilities limebaki dogo kati ya marekani na Russia lakini militarily ni gap muhimu sana, na Russia anakimbizana na Muda kuliziba kabisa gap hilo lakini sio rahisi kwa sababu za kifedha, ni ngumu sana Russia ambae defense budget yake + ile ya China kwa pamoja hazijaifikia defense budget ya marekani
Na hiyo budget ya marekani sehemu kubwa inaenda kwenye utengenezaji wa silaha na program za silaha kwa ujumla, hii ni pamoja na ndege mpya za kisasa, maintenance ya old aircraft, kuzi mordenise meli za kivita na kuziwekea mifumo ya kisasa, pamoja na program za uzinzi anti missile-defense system zisiweze kushambuliwa na ballistic missiles, sehemu ya pesa hizi pia huwekwa kwenye program za kusaidia majeshi washirika hasa majirani wa Russia ambao marekani ameweka kambi huko akiizunguka Russia kwenye mipaka yote, Estonia, Lithuania, Latvia, Slovenia, Finland, Poland, maldova, etc
Kwa uwepo wa majeshi ya marekani katika nchi zote hizo zinazoinguka Russia ni sawa na kusema marekani imeizingira Russia pande zote that's why Russia iko desperate na suala hilo

Mwisho
Najua kuwa vijana wengi humu wana mihemko na kukaririshwa au kulishwa sumu either na wenzao humu humu ndani au ni wasomaji wazuri wa sputniknews.com, na hivyo kupata habari za kijeshi za upande mmoja unbalanced na ambazo zimetokana na opinion za waandishi au experts ambao ni pro Russians
Pamoja na kufuatilia Russian media nashauri wafuatilie pia media za upande mwingine kuweza ku balance ufahamu wao
Wataelewa tu lete dozi
 
Humu kunawatu wanachekesha sana ila mkae mkijua hakuna kiumbe au binadamu anaweza kuivamia Rassia kijeshi. hat Dunia nzima iunganishe majeshi yote na. Mrusi asimame pekeake
Acha kujidanganya wewe....na vitu vyako vya kukalilishwa
 
LABDA TUONE NI KIASI GANI NCHI MBALIMBALI ZINATUMIA KWENYE JESHI NDO TUTAPATA PICHA KIDOGO YA WHO IS WHO
 
Attachments

  • military 2.gif
    military 2.gif
    23.7 KB · Views: 39
  • military.jpg
    military.jpg
    6.3 KB · Views: 46
tatizo unaongea vitu usivyovijua kabisa na wala huna uelewa navyo, ebu angalia biashara na thamani yake baina ya US na china, US na Brazil, US na India afu linganisha na biashara baina ya urusi na china, urusi na brazil, urusi na india afu uje hapa useme mwenyewe
Mkuu ndio umeandika nini, sijakuelewa... Hoja ni mahusiano mazur na majirani. Naona wewe unajitia uelewa mkubwa kumbe hata kujenga Hoja huelewi. Kabla hujabaka comment review kama ni reply au comment.
Narudia kwa manufaa yako. Previously comments ilipoint uhusiano mbaya kati ya Russia na neighbors countries. Reply yangu ndio hiyo. Kwamba Latvia & Estonia kiuchumi impact yake ni ndogo sana kwa Urusi....sasa leta uelewa wako hapa.
 
Ni wazi kwa maelezo haya viroba vinahusika

Nakushauri ukatafute taarifa sahihi kuhusu biashara na uchumi uweze kuona biashara kati ya marekani na nchi za dunia ya pili yaani india, Brazil, Indonesia, Japan, Bangladesh halaf usome pia biashara ikoje kati ya Russia na hizo nchi

Kumbe hata habari za uchumi huzijui, nili suspect siku nyingi huwa mnatumia viroba kumbe kweli

Yaani unabishana bila data za kiuchumi ili uonekane unajua kumbe la
Mimi viroba Lakin wewe Gongo la mavi... Watanzania kama wewe wanajiona wanajua kumbe hopeless.. Tatizo mnakimbilia reply baada ya kusoma content.
Uchumi wako fake peleka kwenye madesa. Hapa naongelea hali tete ya ki diplomasia kati ya Russia na neighbors countries particularly Estonia & Latvia.
 
huwa sioni sababu za kulinganisha Urusi na Usa kijeshi.kuna vitu vichache ambavyo hutoa majibu ya moja kwa moja
1.kuhangaika kwa Marekani kumzunguka russia kwa kuweka base zake kila nchi iliyopo jirani na urusi ni uthibitisho tosha Urusi ni watu Hatari
2.Muunganiko wa Nchi takribani 28 za ulaya ( NATO) zinazojiweza kijeshi na kiuchumu wakisaidiwa na Marekani ili kujirinda against urusi nao ni Uthibitisho tosha urusi ni Hatari
Kwa sababu hizo hamna nchi au muungano wa nchi yoyote ile duniani anaweza kumpiga urusi kijeshi
Mkuu umetoa k2 simple and clear
 
Mkuu hebu punguzaga ushabiki wa kijinga....unashabikia kitu mpaka unaboa....labda nikuulize Putin una undugu nae maana unabishana na ukweli....hebu Google utasikia au utaona...acha kuongea usichokijua kataa kubali marekani ndio taifa kubwa kiuchumi na ndio taifa lenye nguvu ya ziada kijeshi
je, una data tofauti na zile za FORBES, WIKIMEDIA & CIA?
 
huwa sioni sababu za kulinganisha Urusi na Usa kijeshi.kuna vitu vichache ambavyo hutoa majibu ya moja kwa moja
1.kuhangaika kwa Marekani kumzunguka russia kwa kuweka base zake kila nchi iliyopo jirani na urusi ni uthibitisho tosha Urusi ni watu Hatari
2.Muunganiko wa Nchi takribani 28 za ulaya ( NATO) zinazojiweza kijeshi na kiuchumu wakisaidiwa na Marekani ili kujirinda against urusi nao ni Uthibitisho tosha urusi ni Hatari
Kwa sababu hizo hamna nchi au muungano wa nchi yoyote ile duniani anaweza kumpiga urusi kijeshi
Of course, nchi yeyote yenye silaha za nuclear ni nchi ya hatari, na hasa ukiongeza na raisi kichaa kama Putin, inakuwa hatari mara mbili.
 
Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,

Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua

Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee

Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe

Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha

Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi

Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua

Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri

Silaha

Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi

Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap

Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri

Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora

Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii

Nani mratibu wa takwimu za silaha za kijeshi Duniani - nani? Tatizo kubwa hapa ni Ku copy na ku paste disinformation za MSM raw, watu ku exaggerate uwezo wa Uncle SAM - wao wana uwezo gani wa kujua Wachina, India, Iran, Korea ya Kasikazini na Urusi wana idadi ngapi za fighters, bombers, ICBM, cruise missiles, submarines(nuclear na diesel electric powered) anti satellite satellite and what have you - maneno tu!!

Rhetoric zao ni sawa sawa na za paper tiger, wanatishia vinchi vidogo vidogo tu, Taifa kama Korea ya kaskazini inaweza kumtoa kamasi - juzi juzi hapa walilamikia Korea kwa kujamu GPS frequencies za kuongozea smart bombs zao,ndege na meli ambazo zilikuwa karibu na eneo la Korea, pamoja na mbwembwe za kujidai wana uwezo mkubwa wa ku counter threat yoyote Duniani mbona walishindwa kujikwamua kwenye mtego wa Korea, badala yake wanailahumu Urusi eti ndiyo imewahuzia Korea mitambo ya kukorofisha mawimbi ya GPS! Akili zao za u racism wanafikiri Wakorea hawana wana sayansi wa kuhunda mitambo ya kujilinda.

Huo uwezo wao si tungeuona katika conflicts nchini Syria, wamepoteza miaka mingapi wakijaribu kupiga mabom kwa kile walicho kiita makambi ya ISIS badala ya Màrekani kusambaratisha kundi la ISIS/Daesh kundi likawa linaongezeka/kua kijeshi siku hadi siku baadae ikaja gundulika kwamba kumbe ndege za kivita za NATO zilikuwa zinapoteza muda mwingi zikipiga mabom sand Dunes badala ya kupiga mabom kundi la ISIS!!

Cha kujiuliza hapa Urusi ilitumia muda gani kufanya kazi yenye uhakika ambayo Wamarekani walishindwa kuikamilisha miaka nenda rudi huku kundi la ISIS likiendelea kutishia amani ya Dunia wapo mpaka Somalia na Africa Magharibi kundi hilo ni tishio kweli kweli.

Enter jeshi la anga la Urusi imewachukua miezi tu kusambaratisha tuseme ku degrade kwa kiwango kikubwa kikundi cha ISIS, kama Marekani ni wababe kivile na wanajiamini kijeshi mbona Warusi walipo ingia Syria Marekani na washirika wake walinywea, huu mwezi wa ngapi tangu jeshi la anga la Urusi liingie Syria na kufanya wanayotaka/malengo yake kiulaini kabisa - huo uwezo mkubwa wa Mayankee mbona hatukuona huko Syria walao kuthubutu kuwaondoa kinguvu jeshi la anga la Urusi, si Marekani wanajifanya wababe wa Dunia mbona walibaki kulalama lalama tu eti Urusi unewaharibia plan "A" yao ya kumuondoa madarakani Asaad sasa watakuja na plan "B" majigambo tu na ndoto zao za mchana - silaha ya kawaida aina ya brasing SUN imetia kuwewe jeshi la Marekani wako mbioni kujaribu ku copy/ reverse engineer silaha ya wenzao kama wanavyo fanya kwa injini za roketi ambazo Warusi wanawahuzia Wamarekani kama booster za Atlas roketis, Marekani imejaribu sana Ku copy design za injini za Urusi bila mafanikio - alafu watu wanakuja hapa na stori za kufikilika tu!!!

Tukirudi kwenye matatizo nchini Syria baada ya Marekani kuzidiwa kete na Urusi, walipo jiona hawana jinsi wakaja na stori eti wamelewana na Urusi kumbe Assad is not thàt bad after all - ajabu kabisa! - wakibanwa kiufundi wananywea kweli kweli.

Vita ya Syria vimedhilishia Dunia mambo mengi - hivi sasa wenye akili wanajua nani ni nani - watu watasema mengi lakini ukweli umekwisha julikana.
 
Nani mratibu wa takwimu za silaha za kijeshi Duniani - nani? Tatizo kubwa hapa ni Ku copy na ku paste disinformation za MSM raw, watu ku exaggerate uwezo wa Uncle SAM - wao wana uwezo gani wa kujua Wachina, India, Iran, Korea ya Kasikazini na Urusi wana idadi ngapi za fighters, bombers, ICBM, cruise missiles, submarines(nuclear na diesel electric powered) anti satellite satellite and what have you - maneno tu!!

Rhetoric zao ni sawa sawa na za paper tiger, wanatishia vinchi vidogo vidogo tu, Taifa kama Korea ya kaskazini inaweza kumtoa kamasi - juzi juzi hapa walilamikia Korea kwa kujamu GPS frequencies za kuongozea smart bombs zao,ndege na meli ambazo zilikuwa karibu na eneo la Korea, pamoja na mbwembwe za kujidai wana uwezo mkubwa wa ku counter threat yoyote Duniani mbona walishindwa kujikwamua kwenye mtego wa Korea, badala yake wanailahumu Urusi eti ndiyo imewahuzia Korea mitambo ya kukorofisha mawimbi ya GPS! Akili zao za u racism wanafikiri Wakorea hawana wana sayansi wa kuhunda mitambo ya kujilinda.

Huo uwezo wao si tungeuona katika conflicts nchini Syria, wamepoteza miaka mingapi wakijaribu kupiga mabom kwa kile walicho kiita makambi ya ISIS badala ya Màrekani kusambalatisha kundi la ISIS/Daesh likawa linaongezeka kijeshi siku hadi siku baadae ikaja gundulika kwamba kumbe ndege za kivita za NATO zilikuwa zinapoteza muda mwingi zikipiga mabom sand Dunes badaka ya kundi la ISIS!!

Urusi ilitumia miezi tu kusambaratisha tuseme ku degrade kikundi cha ISIS, kama Marekani ni wababe kivile na wanajiamini kijeshi mbona Warusi walipo ingia Syria Marekani na washiriki wake walinywea, huu mwezi wa ngapi tangu jeshi la anga la Urusi liingie Syria na kufanya wanayotaka/malengo yake kiulaini kabisa - huo uwezo mkubwa wa Mayankee mbona hatukuona huko Syria walao kuthubutu kuwaondoa kinguvu jeshi la anga la Urusi, si Marekani wanajifanya wababe wa Dunia mbona walibaki kulalama lalama eti Urusi unewaharibia plan "A" yao ya kumuondoa madarakani Asaad sasa watakuja na plan "B" majigambo tu!!!

Mwisho wa siku wanabadirisha kibao eti tume elewana na Urusi kumbe Assad is not thàt bad after all - ajabu kabisa! - wakibanwa kiufundi wananywea.

Vita ya Syria vimedhilishia Dunia mambo mengi - hivi sasa wenye akili wanajua nani ni nani - watu watasema mengi lakini ukweli umekwisha julikana.
Na wewe umeshaingia kwenye hii mada? Basi tena, sasa tutegemee full uongo and cooked facts
 
Na wewe umeshaingia kwenye hii mada? Basi tena, sasa tutegemee full uongo and cooked facts

Kitu gani nimezungumza hapa ambacho hakijulikani? Unajua maana ya cooked facts? Leta hoja za kwako mbadala members wanà akili timamu za Ku compare na ku contrast - kama huna cha ku contribute just move on, hapa tunaelimishana sio lazima ukubaliane nilicho kisema.
 
USA hapana lakini Ulaya vimewauumiza kwa kiwango kikubwa tu.
Naskia wazalishaji wa bidhaa za kilimo ulaya wanazitaka serikali zao kufuta vikwazo ili soko lao linawiri,hii ina maana marekani aliwaingiza mkenge ama kuwaburuza wenzake,na vp maisha na gharama za maisha kwa wananchi wa urusi yameathirika?,km hayajaathirika basi wapo vizuri,maana yalomkuta mzimbabwe kwa vikwazo ni balaa,asante mkuu kwa kunijuza,
 
Back
Top Bottom