One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

Sinoni

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,188
10,667
1026881254.jpg
 
Siku russia akipoteza ufalme dunia itachafuka damu
Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,

Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua

Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee

Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe

Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha

Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi

Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua

Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri

Silaha

Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi

Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap

Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri

Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora

Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
 
acha kutuongopea wewe iyo sirah gani ambayo marekani katengenez alafu urusi washindw kutengenez tatizo mnaongea kiushabik tu pasipo kujua hata izo siraha zenyew.izo ndeg alizokuw kuw nazo usa nyingi ni za kusafirishia watu na mizigo sasa ingia kweny ndeg aina ya attack,fighter na bomber ndo useme marekan ana ndeg nying,sasa ukitaka ujue warusi ni noma njoo kweny vifaru na makombora.we ushangai ulaya kuna nchi ngapi+ marekani lakin mbele ya jamaa awaongei kitu
 
uyo marekani lini alikuw mbabe wa dunia,vikwazo tunawekew nchi kam kam Tanzania maan ni tegemez ila sio urusi,uyo marekani anapelek nin urusi bora waseme europe maan wananunua gesi na mafut kutok urusi.urusi imekamilik kila kitu kun viwanda vy kila aina madini ndo usiseme kilimo ndo sehem yake sasa unategemea ao watu wataitaji msaad kam siye
 
kweli mnapend vibay,yani akuna kitu ambacho urusi katengenez marekan kashindw.roketi tu za kwend angani zinawashind,pia kuna kitu kinaitw (ss-18satan) hadi dunia inaisha uyo marekani awezi kutengenez kombor kama ili uzito wake tu ni tani 206,lina vichw 10 +vichw 30 vya kupotez makombor ya ulinz,wao wanaishia tu kutengenez makombor ya kawaid
 
Teh Teh Teh mzee Yusuph yule muimbaji wa taarab! Aisee wewe jamaa wewe, kwa hiyo Putin na Urusi yake ni sawa na muziki wa taarab.?

mzee yusuph ni mfalme na putin+russia yake ni mfalme hapo ndo inaweza leta sense, na kwa style hiyohiyo utakuta hata manzese kuna rahisi!
 
acha kutuongopea wewe iyo sirah gani ambayo marekani katengenez alafu urusi washindw kutengenez tatizo mnaongea kiushabik tu pasipo kujua hata izo siraha zenyew.izo ndeg alizokuw kuw nazo usa nyingi ni za kusafirishia watu na mizigo sasa ingia kweny ndeg aina ya attack,fighter na bomber ndo useme marekan ana ndeg nying,sasa ukitaka ujue warusi ni noma njoo kweny vifaru na makombora.we ushangai ulaya kuna nchi ngapi+ marekani lakin mbele ya jamaa awaongei kitu
F-22 raptors ndege ya US ni mojawapo ya hi tech ambayo Russia anaota na hakuna hata nchi moja duniani yenye tech kama hiyo, hii ni ndege iko very advanced na imepigwa marufuku na Congress kuuziwa nchi yeyote duniani....subiri F-35 itoke ndio utajua hao Russia bado wanapigana na manati na mikuki
 
iyo f-22 ina nin cha ajabu,kidog ungesem f-35
 
Mkuu kuna wenzio walishakuja hapa kama wewe unavyoanza lakini wakala kona. Haya maelezo yako ni ya uhakika na yana ushahidi.? Usije mbeleni ukapotea kama wao.
Mkuu kwa ufupi tu ni kuwa najua nachokisema, ukweli ndio huo

Hivi kweli ndugu masunga Kuna mtu mwenye akili timamu anae weza kukataa kuwa marekani sio baba wa dunia kwa maana ya super power, ukiona mtu anabisha hilo kimbia kabisa usihangaike hata kubishana nae

Naikubali sana Russia, kama global power anae rise kwa kasi, lakini bado ana safari ndefu hasa kwenye uchumi, in fact China anamfukuzia America kwa karibu sana, uchumi na biashara, biashara kati ya China na mabara mengine ikiwemo America ni ya kiwango cha kuogopesha, currency ya China inaitisha dollar kwa sasa Ingawa bado lakini ni tishio

China inafahamu kuwa na military might pekee hakuwezi kufanya ukawa super power, unahitaji kwanza kuvunja American financial superiority in the world, hii ni pamoja na kuivunja dominance ya dollar katika international trade, pia kuivunja dominance ya America katika banking system,
Nadhan unafahamu kuwa mfumo wa kibenki wa kimataifa umekua dominated na marekani na washirika wake na wameu integret na system zao, mabenki ya kimagharibi ndio yanatumika sana kwenye international trade
Ndio maana ukiwekewa vikwazo na hawa mabwana wa magharibi mabenki karibu yote duniani yana apply hivyo vikwazo dhidi yako, jina la nchi yako au lako lina ingizwa kwenye system ya bank zote, hakuna unachoweza kufanya iwe kuagiza au kuuza bidhaa

Naomba kama huniamini huende bank hata leo ujifanye unataka kulipia mzigo wako ambao umeununua online uone utajibiwa nini, cashier we are sorry sir haturuhusiwi kufanya transaction kwenda nchi hiyo, na ukienda bank zote utajibiwa hivyo, bank ikikaidi vikwazo vya marekani ikigundulika inakua imejiua,

That is what it takes to be a super power au mfalme wa dunia, unashikilia vitu vyote muhimu duniani, uchumi, military, sports, science, njia za mawasiliano,karibia wote duniani ikiwemo watu wa Russia na China tunatumia yahoo, instagram, tweeter, Facebook, vyote hivyo ni vya kimarekani

Itachukua miaka mingi sana even life time kwa marekani kunyanganywa ufalme wa dunia

Kwa habari ya silaha wote tunajua marekani yako mbele ya kila mmoja duniani, Ingawa gap la capabilities limebaki dogo kati ya marekani na Russia lakini militarily ni gap muhimu sana, na Russia anakimbizana na Muda kuliziba kabisa gap hilo lakini sio rahisi kwa sababu za kifedha, ni ngumu sana Russia ambae defense budget yake + ile ya China kwa pamoja hazijaifikia defense budget ya marekani
Na hiyo budget ya marekani sehemu kubwa inaenda kwenye utengenezaji wa silaha na program za silaha kwa ujumla, hii ni pamoja na ndege mpya za kisasa, maintenance ya old aircraft, kuzi mordenise meli za kivita na kuziwekea mifumo ya kisasa, pamoja na program za uzinzi anti missile-defense system zisiweze kushambuliwa na ballistic missiles, sehemu ya pesa hizi pia huwekwa kwenye program za kusaidia majeshi washirika hasa majirani wa Russia ambao marekani ameweka kambi huko akiizunguka Russia kwenye mipaka yote, Estonia, Lithuania, Latvia, Slovenia, Finland, Poland, maldova, etc
Kwa uwepo wa majeshi ya marekani katika nchi zote hizo zinazoinguka Russia ni sawa na kusema marekani imeizingira Russia pande zote that's why Russia iko desperate na suala hilo

Mwisho
Najua kuwa vijana wengi humu wana mihemko na kukaririshwa au kulishwa sumu either na wenzao humu humu ndani au ni wasomaji wazuri wa sputniknews.com, na hivyo kupata habari za kijeshi za upande mmoja unbalanced na ambazo zimetokana na opinion za waandishi au experts ambao ni pro Russians
Pamoja na kufuatilia Russian media nashauri wafuatilie pia media za upande mwingine kuweza ku balance ufahamu wao
 
we utakuwa ulipata division one
 
Back
Top Bottom