One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

Sentensi zinakinzana!!! Which is which?

Sentensi ziko sawa tu...hakuna kukinzana hapo...USA ana silaha za nuclear zimelenga RUSSIa na Russia nayo ina silaha za nuclear zimelenga USA...Hoja yangu ilikuwa ni kuwa USA na Russia zote ni superpowers in military terms...
 
Kwa hiyo US anaweza kufanya kitu kwa USSR, tofauti na usemi wako wa mwanzo. Sawa?
 
Kwani mwanzo nilisema vipi, comrade?
Nime "quote" sentensi yako ya kwanza kuwa US hawezi kufanya lolote, halafu ukaendelea kusema kuwa wote wana nuclear weapons, na ilichobaki ni kuviziana. Ndo maana nikaema sentensi zinakinzana. Na ukasema wote ni Super powers. Ni hapo tu niliposhindwa kuelewa,
 
Ok, ok, ok...Ni kweli USA hawezi kufanya lolote kwa Russia, na Russia nayo haiwezi kufanya lolote kwa USA...zote zina silaha za nuclear...vita kati ya nchi hizi mbili hazitakuwa na mshindi ikiwa nuclear weapons zitatumika...makombora ya USA yanaweza kuibomoa Russia na vivyo hivyo makombora ya Russia yanaweza kuibomoa USA...sasa hapo ndipo mchezo unaponoga...sasa hivi Russia imejiimarisha sana kwa silaha, lakini pia USA nayo inajiimarisha kwa silaha...
 
1463037900118.jpg

wa serbia bwan washenz kweli.ujumb gani huu wa kuwambia wenzao wakati walipotez ela nying kweny iyo kitu
 
watu wengi wanachoshindwa kuelewa ni kwamba Urusi hapgiki hata Nato wanajua hilo. jamaa wamewekeza xn kwenye Makombora na hata ukiuwa Warusi wote hayo madude yanauwezo wa kujiendesh yenyew
 
Ufalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,

Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua

Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee

Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe

Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha

Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi

Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua

Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri

Silaha

Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi

Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap

Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri

Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora

Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
,,,, ZZZW# ssawa= l
 
F-22 raptors ndege ya US ni mojawapo ya hi tech ambayo Russia anaota na hakuna hata nchi moja duniani yenye tech kama hiyo, hii ni ndege iko very advanced na imepigwa marufuku na Congress kuuziwa nchi yeyote duniani....subiri F-35 itoke ndio utajua hao Russia bado wanapigana na manati na mikuki
Kweli watu mna mahaba. F-22 wala haina uwezo wa SU-35. Fanya utafiti na angalia what Sukhoi(Сухой) can do in the world of military.
 
Kweli watu mna mahaba. F-22 wala haina uwezo wa SU-35. Fanya utafiti na angalia what Sukhoi(Сухой) can do in the world of military.
hahaha ..acha michezo wewe labda unataka kuleta ubishi tuu,F-22 is the only 5th gen. fighter na hakuna nyingine yeyote duniani na uache kulinganisha mikuki na bunduki
 
Ili mjue kuwa USA kwa sasa wapo crippled, last year waliamua kujiunga na space station ya warusi ili kufanikisha azma yao ya kwenda space. Since Barack Obama came into power, imekuwa ngumu sana kwenda space, wameweka"discovery" yao makumbusho na wanatumia space center ya urusi kufanya launching zao.

Юри Гагарин бейб...teh
 
hahaha ..acha michezo wewe labda unataka kuleta ubishi tuu,F-22 is the only 5th gen. fighter na hakuna nyingine yeyote duniani na uache kulinganisha mikuki na bunduki
Tatizo hapa kuna mapenzi na mahaba, wapo pro Americans lakini pia wapo pro Russians, hivyo ni ngumu kupata muafaka.

Lockheed/Boeing built the most expensive fighter jet in F-22 lakini haimaanishi kwamba ni the best. Ilifikia kipindi hadi waliotoa tender ya kuitengeneza raptor kidogo wachomoe coz it was going to cost heft amount. Lakini pia, sababu za wao kukataa kuiuza nje ni kuwa kiukweli isingepata wateja wengi kwa sababu ilikuwa ghali mno.

Hata hivyo, propaganda kwenye siasa na majeshi haziishi. Wewe unasoma na kuangalia news kwa kiingereza, muingereza au mmarekani (CNN, BBC, sky news, cnbc etc) ndio wanakupa habari hivyo wakitaka kukutwist ili uwapende, they will. Mimi naangalia Russia today, Pervii Kanal(Первый Канал), RT Planeta etc lazima niwapende coz kwanza naelewa wanachonieleza. So, hapa ni propaganda tu kiongozi.
Go and check MIG-33 and SU-35, zote ni product za warusi.
 
Acha utani wa kitoto wewe,we are talking about fifth generation 'crown jewels' of United States Air Force then wewe unatuletea hizo third generation with half stealth,hii ndege itabaki kuwa dream kwa wakomunista wako for many years to come...RIP Ruskies
 
Lockheed/Boeing built the most expensive fighter jet in F-22 lakini haimaanishi kwamba ni the best. Ilifikia kipindi hadi waliotoa tender ya kuitengeneza raptor kidogo wachomoe coz it was going to cost heft amount. Lakini pia, sababu za wao kukataa kuiuza nje ni kuwa kiukweli isingepata wateja wengi kwa sababu ilikuwa ghali mno.

Hata hivyo, propaganda kwenye siasa na majeshi haziishi. Wewe unasoma na kuangalia news kwa kiingereza, muingereza au mmarekani (CNN, BBC, sky news, cnbc etc) ndio wanakupa habari hivyo wakitaka kukutwist ili uwapende, they will. Mimi naangalia Russia today, Pervii Kanal(Первый Канал), RT Planeta etc lazima niwapende coz kwanza naelewa wanachonieleza. So, hapa ni propaganda tu kiongozi.
Go and check MIG-33 and SU-35, zote ni product za warusi.
Ebu tupe list ya fifth generation fighter planes in operation, from whatever source unayopenda, ila tupe na links na sio maneno matupu.

Kwanza sababu kuu ya kutokuiuza nje ni kuwa hawataki mataifa mengine wajue siri ya hiyo ndege, na si kwamba ni expensive kama itauzwa jinsi ilivyo.
 
Nilifuatilia sana sakata la F-22, the battle for X planes between Boeing na Lockheed, gharama zilikuwa juu sana na walifanya utafiti wakagundua kuwa it will be too expensive for most clients, wengi walishalalamika kuwa hizo jets zipo very expensive, usibishe kiongozi.

1.Lockheed Martin F-22 Raptor
2.Lockheed Martin F-35B
3.Sukhoi PAK FA.
4.Chengdu J-20
5.Shenyang J-31

Namba 2-5, are still under final tests as per USA. Si unajua USA lazima yeye aseme kwanza ndio mkubali.
 
tatizo jamaa zangu ni wapend misifa san,wanatengenez ndeg kw bei kubw san,wenzao iyo iyo wanatengenez kw bei ndog tu lakin ubora wake ni zaid ya kwao
Ni wapenda sifa sana. Kila kitu lazima wajisifu dunia nzima. Uliza sasa space centre yao huko US, imebidi watumie ya warusi "for the time being", imebidi wawaombe warusi ili waunganishe nguvu huko space, matokeo yake Russia ndio wanarusha space rockets. Ile Discovery yao ipo makumbusho.
 
Wanaume wengi wakotayari kuwa wanawake kwa ajili ya mahaba na marekani,Urusi ni gwiji wa utengenezaji silaha za kivita na ambazo zinatumika huko huko marekani,halafu mtu anasema marekani iko mbele kwa silaha kuliko urusi.
 
Back
Top Bottom