Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,289
- 7,728
Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE.
Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni mtandao wangu mama, in short jf ilibadili maisha yangu, kunitoa kwenye umasikini mpaka kuniingiza kwenye kipato cha kati, kutoka jiji la Arusha hadi zenji kwa ramani ya members wa jamii forum, mungu awabariki sana, sijawahi hata kuwalipa lakini nilicholewa ramani na members wa kipindi hicho kuzamia zenji kutafuta riziki, niliingia zenji nikiwa na kumbukmbU ya kulipwa elf mbili Arusha kwa siku, dah hadi leo nilipo alihamdulillah, jamii forum mungu iweke milele.
Nisiwachoshe sana save the date
1 OCTOBER 2026.