humu

The VL Humu (Whirlwind) is a Finnish fighter aircraft, designed by Valtion lentokonetehdas in 1944, and based on the American Brewster F2A Buffalo.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  4. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

    Habari jamani Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta. Nawasilisha
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

    Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana? Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa jf unajiskiaje kujua hakuna mali humu?

    Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuna sisi tunapenda humu JF 😁😁

    Tunapenda mno , ila tukigeuzwa vituko , sio kila mwanaume anapenda hili life style, kuna wengine tunapenda tutulie na wanawake zetu, ni nyie wanawake mnatugeuza tu kukataa ndoa🍺🤔
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁 Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁 Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Au Just I'd tu😅😅
  12. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kuna misemo humu JF inanichanganya

    1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani? 2: Papuchi- ni tunda au nini haswa? 3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati 4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio? 5: Mkuu - ni nani muhasisi wa neno mkuu?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawai kuona wazungu humu ?

    wakuu kwema inamaana hakuna wazungu single humu
  14. min -me

    JamiiForums Tanzania Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

    Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃 Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃 Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
  15. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  17. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati ukiomba msaada humu, upati msadaa sahihi

    Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye...
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

    Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo... Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine. Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji. JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    adriz de mbusii Intelligent businessman
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Wananchiii, Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji. Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
Back
Top Bottom