Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,318
- 7,657
twende tu na ukweli, ungekua wewe ungeimba direct? kama bashite ndo mtekaji, faru aki supavaizi na kamanda naniliu ndo alipokea order.???? acha utani mkuu we utaishia ku comment R.I.P mtandaoni.nimemuelewa saana, ila kwanini apitie magumu yote yale halafu anayasema kwa lugha ya uficho?
huu ndio uoga ninaousema, angechana tu yaani ukisikia unaelewa direct
by the way hiyo ndo kazi ya fasihi usitake utafasiriwe kila kitu