Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

This artist ni idiot kabisa. Badala ya kutunga nyimbo za kumuingizia hela yeye anatunga nyimbo za kutukana? Hivi anajua ni watanzania wangapi wamekufa kwa sababu ya rushwa na yeye anashabikia rushwa? Yaani namaanisha anapopingana na serikali anamaanisha nini? I think inabidi tufikie pointi ya wale wote wanaopinga hatua za serikali wafe tu, hakuna namna, nchi hatuwezi kuwa na wasaliti, tunataka tufikie uchumi wa kati kabla ya 2025, hatuhitaji watu wa kutukatisha tamaa. Hata Mungu hakuruhusu wanafiki kufika nchi ya ahadi, walikufa wote isipokuwa wawili tu na kizazi kipya walifkia.

Ajifunze kwa Diamond. Diamond ni kijana mzuri sana, yaani kwake muziki ni kazi, na ni ujasilia mali. Hawezi kufanya kitu kinachoweza kuharibu biashara yake.

Wewe ndiyo msio itakia mema Tanzania .Roma kama msanii katumia sanaa yake kuifikishia hadhira juu ya kadhia iliyomkuta kaelezea wazi ujinga wa wanasiasa wetu ambao wanadhani serikali kutoa huduma ni huruma ya mtu binafsi kiongozi.Msanii Roma katumia sanaa yake kuelezea kule tunaelekea kiuchumi ma kisiasa.

watu tupimane kwa hoja na nguvu sisi wote ni wamoja .Pia katahadharisha juu ga wanasiasa na viongozi kumuogopa mungu si kuongea kinafsiki kuwa wanamuogopa Mungu hali yakuwa wao ndiyo watenda maovu wakuu.

Roma kaongelea umuhimu wa umoja wetu kuwa katika sakata lake Watanzania hatukulala kumuombea na kupiga kelele kwa watesi wamuachie huru.Msanii Roma kaongelea watoto yatima na wajane na wazee maisha wanayoishi baada yakufiwa .Ndugu funguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anazidi kuikamilisha historia ya maisha yake kupitia muziki kwa maudhui ya kisiasa hongera sana Roma nilidhani umefungwa kitambaa na mikono hadi leo.viva Romaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizi ni baadhi ya meseji zilizowekwa kwa mfumo wa sanaa na msanii Roma mkatoliki. Yaweza isiww maana Rasmi ila tunaamini na kukisia kua ndo maana ya karibu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli

Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto

Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)

ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
 
Wimbo ni mbaya, yaani hauwezi kumuingizia hela. Kwa sababu 2015 kila mwananchi alihitaji mabadiliko, sasa yeye kaibuka ni li nyimbo la kinafiki. Maisha kwake naamni yatazidi kuwa magumu maana anachezea system ya wateja wake. Ki ukweli sasa namchukia sana huyu kijana mnafiki
Imekuchoma? pasi na shaka wewe ni mmoja wa walee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom