jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Kwahiyo kwenye video nzima ndicho ulicho ambulia?Video ni nzuri lkn nimeshangaa kuona pkpk ikitengenezwa kwa wheel spanner ya gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichokufanya uuchukie na kuuona n wimbo mbaya ni ukweli uliozungumziwa UMEKUUMAWimbo ni mbaya, yaani hauwezi kumuingizia hela. Kwa sababu 2015 kila mwananchi alihitaji mabadiliko, sasa yeye kaibuka ni li nyimbo la kinafiki. Maisha kwake naamni yatazidi kuwa magumu maana anachezea system ya wateja wake. Ki ukweli sasa namchukia sana huyu kijana mnafiki
Nimekuelewa sanaSikia hii " nasimama na unga hoja kwenye uchumi wa viwanda, nanasi linaoza msoga, tikiti linaoza shamba"
Roma kaimba fasihi sana kwa haraka hapa wawezahisi anasifu uchumi wa viwanda.
Kiharaka tu anasema bila kilimo hakuna viwanda maana tunahtaji raw material(malighafi) ili twende kwenye processing factories then transfomation to light industry.. Uwezi enda uchumi wa viwanda kwa kuruka stage ya agricultural revolution
Viva Roma Viva naenda Zimbabwe
-Dumelang
Mbunge ni yule babu mwenye kipara ana madoido sana Bungeni.Amesema eti nilimtukana mkuu wewe mbuge nimtukane kwa lipi umelewa ambulance ungeuliza na dawa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Fasihi katika ubora wake uliotukuka.daaah ukiangalia video unaona hadi wanyama(ng'ombe na mbuzi) wanaenda Zimbabwe
nazidi kumpa credit huyu mkimbizi Roma
Nakwenda_Zimbabwe
Tuko naye hukuhaahaa ngumu kumeza
where is joseverest
Nakwenda_Zimbabwe
Nilivyoelewa....We ni ccm(refer jezi ya yanga) mi ni chadema(refer jezi ya simba na rangi za chadema_white and red) . Ndio anauliza unadhani upinzani siku ukichukua nchi weee uliyekwenye madaraka unayeyatumia sivyo utakiwaje?Aminini siku hazigandi we ni Yanga mi ni Simba kuwa mpinzani sio dhambi/
Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani Simba akichukua kombe sijui atapona nani.
Fasihi ya hali ya juu inataka akili kuelewa
hahahahahah nimeipenda hiiLeo nmemsikia mkewe roma alikuwa clouds radio akaulizwa roma yuko wapi akajibu kuwa roma yupo ZIMBABWE hapo mm pia baada ya kuisikia nyimbo yake nmeshindwa elewa kuwa yupo Zimbabwe kweli au yupo Zimbabwe kifasihi kama nyimbo yake ilivyo...
Samsung note7