tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Mwanamuziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki ameamua kufunguka na kutoa nyongo iliyojaa tumboni mwake Sasa ktk kibao chake kipya Zimbabwe.
Baadhi ya maneno ni kama Kuna siku Mtawala atakuwa mpinzani.
Aliyemteka ni soldier lakini je alitumwa.
Bunge lilimjadili lakini anakiri hakumtukana Mjomba
Alimtabiria aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kuwa Rais.
Yaye kapewa ambulance lakini Tanga linajengwa bomba la mafuta.
Analaani issue za kuteka watu.
Alifungwa kitambaa usoni na kamba mkononi siku tatu
Alikokuwa hakujui.
Kufa haogopi ila watoto wake na Mke wake na mama nani atawahudumia.
Anashukuru nguvu ya umma.