Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Kiitikio kanikumbusha nikiwa JKT 835KJ TANGA,juzi ndio rais aliwapokonya ardhi kule Handeni...
 
Anasema majamaa kwa jinsi walivyo ni wasoja tu aseee, ila nahisi amechoka upepo wa bure huyo, by the way ni bonge la song aseee
[quote uid=127735 name="Bonny" post=22765853]Asante Mzee
Japo sikuona nyota ila nilijua msoja.................Wewe kakupa ambulance mie kanipa bomba..........[/QUOTE]
Mi sikuona nyota kwa shoulder/
Ila najua wee ni soja/
Ulikuja mwenyewe au ulipewa order?

Track nzuri aiseeh
 
[quote uid=127735 name="Bonny" post=22765853]Asante Mzee
Japo sikuona nyota ila nilijua msoja.................Wewe kakupa ambulance mie kanipa bomba..........
Mi sikuona nyota kwa shoulder/
Ila najua wee ni soja/
Ulikuja mwenyewe au ulipewa order?

Track nzuri aiseeh[/QUOTE]
Yaani hii line inaeleza yote uki connect na ya kutabir kurejea kabla ya jumapil.Mungu amsaidie jamaa ![emoji109]
 
Back
Top Bottom