Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 478
- 1,081
OP gani Mzee wa kabukuKiitikio kanikumbusha nikiwa JKT 835KJ TANGA,juzi ndio rais aliwapokonya ardhi kule Handeni...
Sent using Jamii Forums mobile app
OP gani Mzee wa kabukuKiitikio kanikumbusha nikiwa JKT 835KJ TANGA,juzi ndio rais aliwapokonya ardhi kule Handeni...
Hapo Kasemwa mbunge Kesi alishabikia sana Roma alivyokamatwa hlf baadae tukaona picha kapewa ambulance
Sent using Jamii Forums mobile app
Pana mtu alifanyiwa upasuaji wa kichwa wakati alikuwa anasumbuliwa na mguu.Video ni nzuri lkn nimeshangaa kuona pkpk ikitengenezwa kwa wheel spanner ya gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna, kama huoni cha maana ni nini unatafuta?Waalimu lazima mtetee ndio kinara wenu japo ni mpuuzi tunawaonea huruma roma ni sawa na kipofu anayewaongoza so wote lazima mtumbukie shimoni... hivi kuna cha maana anachoimba huyo mvuta bange?
anachoimba ni burudani au ni kitu gani maana anachoimba na vionjo mkienda klub mtachezaje au ujumbe unamhusu nani?
wewe utakuwa mshabiki wa tuzo za kimataifa Ila siyo shabiki wa muzikiHuyo Roma wako Tuzo ya Kimataifa hata Moja hana wakati Diamond ndo kafungua ulingo wa Tuzo za kimataifa kwa wasanii wabongo kwa kiasi kikubwa zaidi ya alivyofanya legend AY sasa nikuulize kati yao nani akamfundishe mwingine??
Kuna mahali amesema, "nilipokuwepo sikuwa na jua hii saa nne hii SAANANE"Asee jamaa humu ndani katumia lugha ya fasihi haswa asee. Kama unajiuliza kuna maswali mengi asee unaweza jiuliza. Mfano
1. Kuna sehemu anasema "nilikutabiri tangu ukiwa waziri" hiki kimstari kuna nyimbo moja aliwahi kuimba kipindi cha Jk,bado sijang'amua kama aliwahi kumtabiria huyu wa sasa.
2. Kuna mahala anasema sikuona nyota kwa shoulder ila najua ni soldier na hapa inaonekana wazi huyu mtu ni ama ni mwanajeshi/ askari/usalama au vyovyote vile ila inaelekea kwenye mkumbo huohuo.
3. Anazungumzia waliotabiri ataonekana kabla ya jumapili na ikatokea kweli na waliotabiri wanajulikana,haha.
Hayo mm ni mawazo yangu tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapo ni sawa na kumwambia Mengi akajifunze biashara kwa Mmachinga