Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,543
- 1,557
Hahahahaha! Uchochezi huomhh hamisa namuonaga ananoga! huyu gigy mie huwa naishia kucheka tu minyusi wanja mweusi eishhh!
Hahahahaha! Uchochezi huomhh hamisa namuonaga ananoga! huyu gigy mie huwa naishia kucheka tu minyusi wanja mweusi eishhh!
Aisee umechambua kunakotukuka!1;Mungu wa paulo(sisiemu)
2; ndo Mungu wa Daud(sisiemu),
3;na ndo Mungu wa john(sisiemu)
4; mnaemwita yohana wa wayahudi(mnaemuita raisi wa wanyonge)
Nakwenda_Zimbabwe
Mkuu hii ni Tamathali ya semi iliyosimama...kwa wanahistoria wanaelewa vuguvugu la kudai uhuru wa Zimbabwe lilivyokuwa na mtiti...to cut the story log short, Msikilize BOB Marley na nyimbo zake za Rebelation ya Zimbabwe....Roma anahamasisha watu kutoka kada tofauti tuungane ku-rebalate our nation..... Hii ni kwa kutumia zimbabwe ya kale na si ya sasaUmeenda mbali sana mkuu! Hiko ni kionjo tu,ungekuwa umebahatika kucheza mgambo au kupitia jkt ungeelewa hilo neno Zimbabwe,hutumiwa tu kuongeza hamasa pindi munspokimbia mchakamchska
Ngoja wanafasihi waje watufafanulieKuna mahali amesema, "nilipokuwepo sikuwa na jua hii saa nne hii SAANANE"
Sikiliza uelewe hapo kuna issue kwani hakukuwa na muda mwingine wa kutaja??
Shukrani kwa kunifikirisha zaidi mkuu!Mkuu hii ni Tamathali ya semi iliyosimama...kwa wanahistoria wanaelewa vuguvugu la kudai uhuru wa Zimbabwe lilivyokuwa na mtiti...to cut the story log short, Msikilize BOB Marley na nyimbo zake za Rebelation ya Zimbabwe....Roma anahamasisha watu kutoka kada tofauti tuungane ku-rebalate our nation..... Hii ni kwa kutumia zimbabwe ya kale na si ya sasa
TWENDENI ZIMBABWE WATZ
Sent using Jamii Forums mobile app
au ameona mavideo queen hawapo. lolAmechemka vp mkuu mbona video inazungumza tena ya kibunifu kuendana na aliyoyazungumza
Nimeelewa wimbo wote, tena ukute wewe ujaelewa but langu nilikua nauliza tu kwanini asiwe wazi kama alivyofanya kwenye VivaRomaVivaHhaahaha mkuu bado hujaelewa sikiliza tena tena na tena utaelewa mbona kawataja waliomteka na kataja vitu vingi tuu.
Sema ndio hivyo utasikia na hauta elewa,utaangalia na hautaona.
Labda usubili kueleweshwa na walio sikia na wakaelewa.
Kuna aina ya mziki ni ngum sana kuuelewa na unaweza ukasikiliza mwanzo mwisho na ukatoka kapa.
Labda sema kipi na wapi hujaelewa au ulikuwa unataka kusikia nini labda wadau walio elewa wakuwekee nukuu ya sehem unapopata jibu lako
Tuma salamu kwa watu watatu waliopo Lumumba na ZimbabweWimbo ni mbaya, yaani hauwezi kumuingizia hela. Kwa sababu 2015 kila mwananchi alihitaji mabadiliko, sasa yeye kaibuka ni li nyimbo la kinafiki. Maisha kwake naamni yatazidi kuwa magumu maana anachezea system ya wateja wake. Ki ukweli sasa namchukia sana huyu kijana mnafiki
Hahahaha! Kuna kujipodoa,na kupodoka,nadhani atakuwa amepodokahaha sio uchochezi yule makeup zake anazijua mwenyew
analialia tu humo
Hahahaha! Kuna kujipodoa,na kupodoka,nadhani atakuwa amepodoka
Mkuu anaogopa kipigo unadhani hana damu..na mkita kuniua nikifa sii hapa nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa mother f**... nakwenda ZimbabweNimeelewa wimbo wote, tena ukute wewe ujaelewa but langu nilikua nauliza tu kwanini asiwe wazi kama alivyofanya kwenye VivaRomaViva
Katika dhana ya kuwa na nchi ya viwanda huwezi kufanya industrial revolution huku ukiweka kapuni sekta nyeti ya kilimo. Inshort katumia msoga bagamoyo ambako nanasi zinaastawi lakini kwa bahati mbaya zinafia shambani kwa kuwa sisi tunaendeleza viwanda vya majukwaaani....Pia Kibiti ambako tikiti nyigi zatokea zinaozea shambani kwa kukosa masoko....Inshort dhana ya viwanda na agr haziwezi tengeneshwa..kwamba dhana ni nzuri lakini utekelezaji ni zeroMkuu hapa kaaminisha nini???
Power of forgiveness