Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Kuna mahali amesema, "nilipokuwepo sikuwa na jua hii saa nne hii SAANANE"

Sikiliza uelewe hapo kuna issue kwani hakukuwa na muda mwingine wa kutaja??
Na ndo maana nkasema kwamba kwenye huo wimbo ukiusikiza na ukajiuliza kuna maswali mengi. Hayo nloyaandika mimi ni machache kati ya nliokuwa nimeyawaza na kama ambavyo na wewe umesikiza ukawa unajiuliza kuhusu hilo.
 
Jamani angalieni na maswali mengine Hugo siyo wa kurudi shule yupo kimaslahi zaidi.ana mambo ya kubuni mistari.sio hakasomee.hapo sawa kumpigiya mbuzi gitaa.
 
Roma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
 
Safi.
My take.
1.Katumia akili sana kubalance story yake ili yasimkute tena.

2. Kumbe alitabiri magufuli atakuwa Rais.(bado cjaamini hili)

3. Kawajibu wale waliokuwa wakisema bora anyooshwe kwa kumsingizia eti kamtukana magu. ( hata humu JF wamo)

4. Hayupotyari kuwataja watekaji wala kusema lengo lao ( ipo siku atawasema tu. Akikaa kimya, Tume will)

5. Yupo vizuri kutunga na kudeliver message kupitia mziki.

6. Kumbe anatambua kelele zetu ndizo zilimuokoa laa sivyo wangekuwa wamesha msaa 8.

7. Inawezekna wimbo na video katengenezea zimbabwe ili wasije msomba kabla poroject haijaisha.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wonder kama kuna maswali walikuwa wakimuuliza wakati wanamtesa. Hiyo inaweza kusaidia kufahamu malengo ya watekaji.
 
Ina maana amehamia Zimbabwe au? Tusijekuwa tameanza kuwa na wakimbizi wa Bashite
 
Na ndo maana nkasema kwamba kwenye huo wimbo ukiusikiza na ukajiuliza kuna maswali mengi. Hayo nloyaandika mimi ni machache kati ya nliokuwa nimeyawaza na kama ambavyo na wewe umesikiza ukawa unajiuliza kuhusu hilo.
Nikweli kabisa. Kuna vitu vizito sana kwenye huu wimbo. Kila ukirudia kusikiliza unapata kitu kipya.
 
Back
Top Bottom