Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Hivi huyo Roma anajilazimisha muziki maana hata sijui anaimba nini zaidi ya kuongea ongea mistari isiyo na vina wala mpangilio alafu anaimba upuuzi tu... kuna watu hununua miziki yake au? ndio sogeza siku tu kama Soggy Doggy Hunter
Toka lini mjinga ukaelewa ..endelea kusikiliza kuku kapanda baiskeli..
 
Kwanza jiulize ni kwanini watu wanafanya mziki?
Kuna waofanya kama hobby
Kuna wanaofanya kama kazi, na diamond anafanya mziki kazi aingize ela.
So kama anachoimba kinamfanya apate ela nyingi zaidi basi kwake poa tu hawezi anza imba vitu unavyopenda kusikia wewe wakati havimletei ela anayoitafuta.
Kuhusu Roma sitomwongelea ila na yeye atakuwa anasaka pesa ndiyo maana aliimba mziki wa K ni K
 
Yule mbunge wa Nkasi kama sikosei alitoa tuhuma hata haelewi chochote.
Roma kamjibu kwa upeo wa hali ya Juu na amemzidi akili kabisa.

Navyoona Zimbabwe sio kuzuri na ndo tunaelekea huko.


Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia hii " nasimama na unga hoja kwenye uchumi wa viwanda, nanasi linaoza msogo, tikiti linaoza shamba"

Roma kaimba fasihi sana kwa haraka hapa wawezahisi anasifu uchumi wa viwanda.

Kiharaka tu anasema bila kilimo haluna viwanda maana tunahtaji raw material ili twende kwenye processing factories then transfomation to light industry.. Uwezi enda uchumi wa viwanda kwa kuruka stage ya agricultural revolution

Viva Roma Viva naenda Zimbabwe

-Dumelang

Makirikiri Dumelang...Nina watoto wengi hadi najiuliza nimtume nani....Yesu akasema nitume mimi...Yaani ID yako ni kama MC fulani hivi aliyetumia mistari hiyo.
 
kitu pekee ambacho nimekuwa nikimuombea uyu dogo ni kwamba, awe alitekwa lakini walimhurumia kumtatua rinda. kama atakuwa amepoteza rinda hapo sasa, sijui atafanyeje. ila kwa trauma ile aliyokuwa nayo wiki lile, aisee kuna siku Mungu atawalipa watesi wake tu.
Amesema alivunjwa bila huruma!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] umemuelewa alichomaanisha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mzee
Japo sikuona nyota ila nilijua msoja.................
Wewe kakupa ambulance mie kanipa bomba..........
Hata makinikia nayatungia mapini piaaa!!

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nilitabiri utakuwa rais/ukiwa unaitwa waziri japo maisha sio marahisi/Ila unahitaji pongezi /

Track itakuwa stori ya town kwa mwezi huu.


Ameitumia fasihi kwa kiwango kikubwa saaana kufikisha ujumbe.

Neno ---- zimbabwe
---------Dr anayetibu
--------'Mwalimu anayefundisha

Na lyrics zingine nyingi.

Huu ndio muziki wa Roma sasa.

"Waliosadiki Roma ataonekana kabla ya jumapili, (Godbless) imetimia Injili niliyoitabiri."

Wengi watatafsiri kama Sifa, Ila ukikazia between the lines utajua ni Jina la mtu.

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Mungu wa Paulo ndio Mungu wa Daudi na ndio Mungu wa John mnaemuita Yohawa wa Yahudi.
 
Back
Top Bottom