Kweli huyu jamaa ana fikra pevu sana, hata kwa zile nyimbo zake za awmu ya nneHuyu jamaa ana akili sana!! sijui wataifungia na hii??
Kweli huyu jamaa ana fikra pevu sana, hata kwa zile nyimbo zake za awmu ya nneHuyu jamaa ana akili sana!! sijui wataifungia na hii??
View attachment 562810 Pitia hii video kujua kilichomkuta Roma Mkatoliki
NB
Siku tatu kama Mateka, wakati huo kuna Mkuu wa Mkoa alitoa ahadi ya kupatikana kwake, na akapatikana kweli. Hakika hata Ben Saanane akitokea anaweza kunena Makuu ambayo kimsingi yanaweza kuwakaa akilini watanzania, vizazi kwa vizazi.
Bring Back Ben Saanane
Safi.
My take.
1.Katumia akili sana kubalance story yake ili yasimkute tena.
2. Kumbe alitabiri magufuli atakuwa Rais.(bado cjaamini hili)
3. Kawajibu wale waliokuwa wakisema bora anyooshwe kwa kumsingizia eti kamtukana magu. ( hata humu JF wamo)
4. Hayupotyari kuwataja watekaji wala kusema lengo lao ( ipo siku atawasema tu. Akikaa kimya, Tume will)
5. Yupo vizuri kutunga na kudeliver message kupitia mziki.
6. Kumbe anatambua kelele zetu ndizo zilimuokoa laa sivyo wangekuwa wamesha msaa 8.
7. Inawezekna wimbo na video katengenezea zimbabwe ili wasije msomba kabla poroject haijaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watekaji mshaanza kuhahaRoma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
Zinatamani ufutike
"bandugu bwaga manyanga ayaokote magufuli"Asee jamaa humu ndani katumia lugha ya fasihi haswa asee. Kama unajiuliza kuna maswali mengi asee unaweza jiuliza. Mfano
1. Kuna sehemu anasema "nilikutabiri tangu ukiwa waziri" hiki kimstari kuna nyimbo moja aliwahi kuimba kipindi cha Jk,bado sijang'amua kama aliwahi kumtabiria huyu wa sasa.
2. Kuna mahala anasema sikuona nyota kwa shoulder ila najua ni soldier na hapa inaonekana wazi huyu mtu ni ama ni mwanajeshi/ askari/usalama au vyovyote vile ila inaelekea kwenye mkumbo huohuo.
3. Anazungumzia waliotabiri ataonekana kabla ya jumapili na ikatokea kweli na waliotabiri wanajulikana,haha.
Hayo mm ni mawazo yangu tu
You can kill me bro, but you won't kill what I'm standing forNaona kapamisi ununio
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
2006 ,,duuuhToka darassa alivyo toa muziki mwaka 2006
hakuna nyimbo iliyo heat hadi leo nadhani Hii Ni nyimbo itakayo sumbua sanaa
Jina lako linaendana na ulichoandika!Roma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
Hujui hip hop ni nnRoma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine
Kaimba yaliomkuta tu,...au ulitk akuimbe weweRoma ni bora angeacha mziki. Nimesikiliza huo wimbo haujanivutia kabisa. Binafsi nilikuwa shabiki wa Roma ila kama kwa sasa staili ndio hii, mimi sio shabiki wake atafute wengine